Ajira hakuna lakini hizo chache zilizopo zinanukia harufu ya kujuana na rushwa,
Kama ajira hakuna basi ugumu uwe kwa usawa (equally) bila kujali cheo, undugu, urafiki, kabila, dini, mali Wala kufahamika kwa mzazi, ndugu, rafiki wa muomba ajira.
Hali sio nzuri katika nyanja zoote za ajira na...