ukombozi

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Sera ya Rais Mwinyi ya Uchumi wa Bahari " Blue Economy" ni alama ya ukombozi kwa wanyonge kiuchumi

    Salaam Wana JF. Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
  2. Ukombozi Umefika Morogoro...

    Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa mambo ya ulimwengu wa Roho. Katika lulu ambazo nimepata kuzijua ni Mtumishi wa Mungu, Askofu Elibariki Sumbe msimamizi wa Kanisa la Vuka Yordani lililopo Ngaramtoni, Arusha. Katika zama tulizomo moja ya changamoto kubwa ni kuwatambua Watumishi wa Mungu wa...
  3. D

    Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

    Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
  4. Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

    Wana JF, habari za asubuhi ya leo nzuri ya tarehe 12/11/2020. Kuna mchanganyiko wa mawazo kumhusu aliyekuwa mgombea Urais ndg Tundu Lissu (CHADEMA) kukimbilia Ubelgiji kwa sababu za kiusalama. Wengine wanasema is WEAK and COWARD, wengine wanasema, ni wakala wa mabeberu hivyo baada ya kushindwa...
  5. Je, Taifa litaokolewa na wakina Mama?

    Ukiangalia kwa makini toka JPM kuingia madarakani na hasa baada ya bahari ya siasa kuwa na mawimbi makali na dhoruba za kuhogofya, wanaume waliokuwa kwenye siasa za kukosoa CCM na kumkosoa JPM wengi walinywea na wengine walirudi CCM. Kwa upande wa wanaume, mtu pekee aliyebaki moto kama moto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…