ukombozi

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Taifa hili la Tanganyika utakuwa mgumu sana!

    1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs 2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na sIwezi kuwalaumu, they have to survive with their families 3. Wafany biashara wanaogopa kubambikiwa...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake Luka 9:58 “Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga na CCM wanapigania ukombozi kutoka kwa nani?

    Msemaji wa yanga akijieleza kwa mashabiki wake kuhusu mchango wa milioni 100 kwa ajili ya ccm,amesema kuwa timu yao ina historia ndefu ya kupigania ukombozi wa wananchi. Mimi nauliza tu,wanapigania ukombozi dhidi ya nani? Tunajua kuwa ninyi sio club ya mpira tu bali mnatumika sana kwa maslahi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Kiuchumi ni safari ndefu, SADC yakumbushwa

    Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji wa malengo waliyojiwekea. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara za...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Polepole kuongeza nguvu kwenye jitihada zilizokuwapo, ukombozi unakuja, saa imefika, Mungu ameruhusu!

    Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama. Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi. "Wapumzike kwa amani...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA ni Chama cha Ukombozi, huwezi kukizuia. Ukizuia kwa hujuma unakijengea umaarufu

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ipo siku nukuu hii itatumika kama alama ya Ukombozi wa kweli kwa Watanzania! Itatumika kama alama kuu ya Uzalendo kwa Taifa!

    I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani. Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania. Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mzaliwa wa kwanza afe, kwa ukombozi wa Israel

    Katika biblia, kuna habari ya wana Israel chini ya Musa waliokuwa wanaomba ruhusa kwa FARAO, ili waende nchi ya ahadi. FARAO alikataa pamoja na kupewa mapigo kadhaa lakini hakutoa ruhusa. ndipo pigo la mwisho likawa la kuua mzaliwa wa kwanza wa binadamu na mnyama wafe. Walipokufa, kesho yake...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Kiuchumi: Je, Tanzania Inaweza Kupenya Minyororo ya Madeni na Kusimama Kwenye Miguu Yake?

    Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje. Tanzania, kama developing economy yenye rasilimali lukuki lakini bado ikihesabu kwenye low-middle income...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Museveni asema kuwa Gaddafi alimpa bunduki za Battalion nzima kwenye vita ya kimapinduzi, walizificha msikitini

    Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Gadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata na kesi za kubumba haziwezi kuidhoofisha CHADEMA. Hata Makaburu walitumia hizi mbinu lakini ukombozi ukapatikana

    Angalia kesi kama hii iliyosimamisha shughuli za CHADEMA. Uhuni wa kisiasa mtupu. Kesi za kubumba ili kudhoofisha wapinzani wenye nia njema na nchi yao. Kesi ya Shujaa Lissu? Haitadhoofisha Watanzania wanaopenda mabadiliko Mmesahau hata Kaburu Peter Botha alitumia mbinu kama hizi!
  13. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kujiamini kwa Mwanamke wa Leo: Ni Kiburi au Ni Hatua ya Ukombozi?

    Siku hizi wanawake hawasubiri tena kuambiwa “unaweza.” Wanasema, “najua naweza/tunaweza.” Wanajiamini, wanavaa wanavyotaka, wanaendesha magari yao, wanaamua nani wa kuwa naye na lini — lakini bado kuna watu wanawaangalia kwa jicho la kushangaa, wengine wakisema: “Hawa wanawake wa siku hizi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu

    Ndugu Wakristo wenzangu, kesho ni siku ya Dominika, hivyo nawakumbusha kuandaa sadaka mbili. Moja ni sadaka ya KANISANI na nyingine ni sadaka ya UKOMBOZI wa Nchi yetu. Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu iingizwe kwenye Account ya chama cha siasa kilichosimama imara bila kuyumbishwa kupigania...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Hatima ya ukombozi wa Tanzania itaamuliwa na mfumo

    Ugonjwa mkubwa wa Tanzania upo katika mfumo wa uendeshaji wa hili taifa,ukiiponya mifumo umeliponya taifa. Tanzania haimuitaji Tundu Lissu,haimuitaji Zitto Wala Lungwe,haiwaitaji CHADEMA,CHAUMMA au CCM Ili iwe na maendeleo ya kijamii au kiuchumi bali inahitaji mifumo Bora ya uendeshaji wa...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Udikteta wa Akili Ndogo: Taifa Linalosherehekea Upumbavu na Kusaliti Mwelekeo wa Ukombozi wa Kifkra

    Ni jambo la kusikitisha mno na linalotia hasira kwamba katika karne ya 21, bado tunashuhudia watu wanaojiona wasomi wakishabikia mfumo wa utawala wa kijinga, wa kisultani, wa kibeberu uliovaa joho la kidemokrasia lakini ndani yake ukificha kiini cha udhalimu, uonevu, upumbavu na utekaji wa haki...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuleta UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii?

    CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii. Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa. Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:- 1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania *Sadaka ya kwanza ni ile ya kawaida na sadaka ya pili iwe ni sadaka ya UKOMBOZI

    Bila shaka Dini zote zipo Duniani kwa ajili ya ukombozi wa binadamu kiroho. Kwa kuwa ukombozi wa kiroho unategemea ukombozi wa kimwili, na kwa kuwa ukombozi huo tunauhitaji sasa, nashauri nyumba zote za ibada kwa madhehebu yake yote Tanzania nzima kila siku ya ibada kuwa na sadaka 2. *Sadaka ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
Back
Top Bottom