Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa.
End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond
Iranians brave the streets to celebrate; US president urges regime’s security personnel to surrender as PM Netanyahu calls on Iran’s public to rise up and...
Wakuu,
Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran
"Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama. Msitoke majumbani mwenu. Nje ni hatari sana. Mabomu yatakuwa yakidondoka kila mahali...
Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga.
Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa.
Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe...
Wakiongozwa na Mange , Tausi likokola,.Maria nk
. Huko twitter x , insta, Facebook, ticktock wanawake wanaongoz kuhamasisa mabadiliko ya hali ya siasa inchini Tanzania.
Hili halijutegemewa lakini ndivyo ililvyo.
Wanaume wengi wamegeuka machawa wamejivisha upofu na ukiziwi.
Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure......
UTANGULIZI
Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji
1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia)
2...
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
===
Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja.
Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja .
Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda.
Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
Asalamaa aleikuh
Bwana yesu asifiwe
Natumai wote ni wazima kuelekea siku ya ukomboz ambayo ni kesho
Ningependa kuwausia machache wala si mengi kama waraka wenu kwenye
Kesho ni siki kubwa ya kuanza maisha mapya ya hofu na kutawaliwa kama watumwa na mkolon au siki ya heshima tarehe 29 ndugu...
Wakuu hamjambo!!?
Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
awamu
baada
heshima
huyu
idd
idd amin
ifutwe
makali
mauaji
maumivu
maumivu makali
nchi
ndugu
rais
samia
sehemu
tabu
taifa
taifa letu
uganda
ukombozi
vizazi
Rose Muhando alikuwa mbele ya muda.
Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu katika nchi yetu.
Ukiachana na lile jimbo la vibe ya maandamano la makomborero linalotamba kwa sasa...
ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA.
Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi.
Yeye anasema akasukuma...
Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana.
Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
Haya yote ambayo polisi na vyombo vya usalama wanayafanya ya kuteka, kutesa wananchi hata ambao hawajahukumiwa bado (ingawaje hata aliyehukumiwa hastahili kuteswa nje ya hukumu aliyopewa) yanaruhusiwa na ni sehemu ya training yao, na hawawezi kufanya tofauti, mtalalamika mnavyotaka lkn polisi...
Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano!
Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu anataka kufanya uchunguzi yaani ajichunguze yeye!!
1. Amekwepa kuomba radhi kwa ukatili uliofanywa na...
Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane.
Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao.
Soon ukombozi utapatikana by any means necessary.
Watu laki tano tukichanga kila mmoja 1000 ni pesa zitazowezesha ukombozi kupatikana
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa.
Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi,
Kuna wanaume uvumilivu utawashinda watajipeleka kwenye hilo gereza au kambi kwa lengo la kumsaidia huyo mrembo kupata haki, watakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.