Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu.
1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda
Moja ya...
Anonymous (a103)
Thread
bugando
changamoto
haki
haki za wafanyakazi
kilio
ukiukwajiukiukwaji wa haki
unyanyasaji
wafanyakazi
watumishi
Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu.
Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa.
Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
Na Mwanachama Hai wa CCM TEMEKE
Utangulizi
Kwa masikitiko makubwa na kwa dhamira ya dhati ya kulinda heshima, maadili, na misingi ya haki ndani ya chama chetu, napenda kuwasilisha taarifa hii maalum ya uchunguzi wa awali kuhusu mchakato wa kura za maoni ndani ya Jimbo la Temeke. Taarifa hii...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia soma > ACT Wazalendo...
Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini.
Kama ambavyo...
binadamu
elections
haki
haki za binadamu
iendane
kampeni
mataifa
no reform
no reform no elections
tanzania
ukiukwajiukiukwaji wa haki
vikwazo
viongozi
viongozi wa tanzania
wapinzani
Habari wana bodi,
Hii ni shule ya serikali inayosimamia na TAMISEMI iliyopo Jiji la Arusha. Sisi wazazi na jamii nzima tunaelewa na tunapewa elimu mara kwa mara na mamlaka mbalimbali za serikali kama vile TRA juu ya ulipaji wa kodi na kudai risiti na tunatambua pia kuwa ktk shule hizi za...
Katika uhalisia ndani ya uchaguzi kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi ikiwemo kuwaandikisha watoto chini ya miaka 18 kinyume cha sheria ikiwemo wananfunzi, ikiwemo wasimamizi wa uchaguzi kutofuata sheria za uchaguzi
Kwenye baadhi ya vituo...
Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili.
Pia soma:
DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
China inasifika...
Kabla ya WhatsApp nilikuwa na line za nchi mbalimbali. Ililazimu Kila nchi uliyofika ununue line. Mwisho nikajikuta na line zaidi ya 100. Nikijua naenda Italy nachukua SIM, Naenda Switzerland nachukua MOBISTAR, n.k. Kwa sasa natumia Togocel na Moov. Hii ni mitandao ya Togo. Togocel ni shirika la...
Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale.
Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo.
Bodi ya Benki mnamo...
Ikiwa ni hatua za kujibu malalamiko yaliyowasilishwa na Taasisi ya Oakland kwa niaba ya wanakijiji walioathiriwa wanaokabiliwa na kufukuzwa, ukiukwaji wa haki za binadamu, na vizuizi vya maisha kupanua Hifadhi ya Kitaifa ya Ruaha (RUNAPA), Benki ya Dunia imetangaza uzinduzi wa uchunguzi kamili...
UTANGULIZI.
Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila mtu katika jamii, suala hili la malezi ya watoto bado limekuwa na changamoto kubwa sana kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.