ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukitaka uheshimike zaidi na Mwanamke kama wewe ni Mwanaume usimsikilize

    Sina haja ya salamu. Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye vile yaan vice versa is true kwa hio anaweza akakwambia umpe limao kumbe mwenzako anataka umpe...
  2. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi kwenye ndoa yenye furaha na amani fanya hivi kijana.....

    Habari za muda huu ndugu zanguni........ Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuyaona mengi.....katika hayo mengi kuna mabaya yanayoumiza na kutufunza na kuna mazuri yanayofurahisha....... Suala la NDOA limekuwa mwiba mchungu sana linalotatiza akili za vijana wengi sana.......kiasi kwamba baadhi...
  3. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

    Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah.. Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu. Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

    Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma. Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama "parking"

    Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara...
  6. JamiiForums Tanzania Dunian hapa ukitaka kupoteza muda wako we jarbu kutafuta usawa katika mapenzi

    Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo vyake anavyopenda kwa mtu ana madhaifu yake, na ukiachana na hayo yote ukishaambiwa hiki kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kutunza pesa yako

    Ukitaka kutunza pesa yako, jitahidi kuepuka hivyo vitu vitatu unavyoviona hapo kwenye picha. #women #betting #alcohol
  8. JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  10. JamiiForums Tanzania Ukitaka wakufunge kirahisi nchi za wenzetu ukwepe kodi, ila kodi yao inafaida kuliko hapa

    Ambao mjasafiri na mnataka kusafiri niwajulishe wenzetu kodi yao ni rafiki sana na inakwenda sawa sawa na utofauti wa vipato na hakuna mtu anaweza kulalamika. sio hapa tanzania bar ya mtaani inauza bia 1500 alafu bar nyengine anauza 3000 leseni sawa. Wenzetu kodi zao unaona kabisa imetenda haki...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali. Pia soma:Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania
  12. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ukitaka kufagia ngazi, anza ngazi ya juu

    U
  13. JamiiForums Tanzania Je kibali cha takiwa ukitaka kufuga samaki kibiashara ?

    Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi bila kuzeeka fanya hivi

    Ukiwa Kama kijana Una umri kianzia 18 yrs ili usizeeke Mapema na uzeeke ukiwa katika ubora wako tumia hii njia . Waangalie wazee wenye umri mkubwa kuanzia 70 yrs then utazame wanaishije then na wewe Apply hiyo lifestyle. Maana yake ni nini Kuwa na tahadhari Kama Wazee Punguza nights out...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ewe Nape ukitaka kuvutia matumizi ya Simu janja weka Internet iwe bure siyo kuongeza kodi

    Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao. Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
  16. JamiiForums Tanzania Ukitaka Amani Nyandua Pis Kali Kwa Ufumdi wa Kibaharia kiasi kwamba hata akileta nyodo kesho yake Usiwaze Jikatae Kiroho Safi

    Shalom, Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu . Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba na hilo pesa yangu inatoka kwa sababu maalumu naogopa sana kuishiwa au kuwa mufilisi. Sasa basi...
  17. JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda mbali nenda peke Yako ukitaka kwenda mbali sana nenda na wengine

    Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
  18. JamiiForums Tanzania Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

    Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa.. Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile . Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
  19. JamiiForums Tanzania Gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari

    Habari zenu, Wakuu shida ni nini hapo mana gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari (taa ya betri na taa ya oili)
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe siku hizi ukitaka ku sponsor post kuna kulipia VAT? Imeanza lini hii?

    Huu utaratibh Umeanza lini daah
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…