uke

  1. Mjanja M1

    Uke kutoa harufu mbaya

    Habari zenu, Watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwasema wake zao kuwa hawajui kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada katika kujisafisha ukeni,leo napenda kuzungumzia tatizo hili linalowasumbua wanawake wengi na...
  2. L

    Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

    Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa.... Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati...
  3. Mjanja M1

    Unapoanzisha mahusiano na mtu hakikisha mnaendana kitabia ili kuepusha lawama mbeleni

    Habari zenu Wakuu, Vitabu vya Dini havikukosea kusema watu wasiikaribie zinaa, nadhani kila mtu anajua kuhusu hilo. Mtu aliezoea kunyonywa uke/uume siku akifunga ndoa na mtu ambaye anyonyi Uchi-huyo Mtu lazima atachepuka na kwenda kutafuta wanyonya uke/uume. Mazoea hujenga tabia wahenga...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Mke mzuri ni yule mwenye uke mzuri, kwa wanaume pia uzuri wetu ni ubora wa uume

    Hili jambo leo yanipasa nilitolee uvivu. Wengi wanasema uzuri wa mwanamke ni tabia, hii si kweli. No, big no Vijana wa kileo wanasema uzuri wa mwanamke ni sura au ukubwa wa kalio, hii si kweli. No, no, no. Mtu huitwa mwanamke kwasababu ana uke. Hivyo kama leo mwanaume akaamka na asiukute uke...
  5. Mhafidhina07

    Uke unaweza kuwa na lock?

    Wiki tatu zimepita tangia nitoe thread ya kutaka kujua kwanini shahawa zangu hazipenetrac kwa manzi wangu. Majuzi ijumaa huyu mdada alikuja geto nikapiga mechi fresh tukalala imefika kumi usiku nikaamshwa akanambia maji mengi yanamtoka kuliko awali basi mwanaume nikaingia tena kazini, yani...
  6. Fabian Vitus

    Tatizo la ukavu wa uke linasababishwa na nini?

    Hili suala la kuwa umemwandaa mwanamke kwa muda fulani Kisha mkaanza game limekolea mara utelezi unaisha mnalichukuliaje? Hii ni shida mpya kwa wanawake wa sasa. Inafikia kipindi mnaboa kuweka mimate iko na bakteria, unaenda kuua ulinzi wa uke. Msiwe mkishupalia kuwa hamuandaliwi vya kutosha...
  7. under timer

    Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

    Habari, siku nne zimepita tangu nipate jiko(mke) Siku ya kwanza tumeshiliki bila shida yoyote, siku iliyofata uke ukabana kiasi kwamba hata vidole viwili haviwezi kupita, tukajipa moyo kesho ake tukaweka hadi mate lakn hakuna kitu tumewashilikisha mashangazi wao pia hawaelewi nini cha kufanya...
  8. Majighu2015

    Ukitaka kujua ukubwa wa uke au uume wa mpenzi wako kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Habari zenu wapendwa, Natumai ni wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa kusoma maumbile ya nje yaani kwa kumtazama usoni na miguuni tu au maumbile yaliyoruhusiwa kumtazama...
  9. Black Butterfly

    Sababu na matibabu ya tatizo la kujamba kwa Uke

    Hii ni hali ya utoaji wa hewa au gesi uliyojikusanya ndani ya Uke. Tofauti na kujamba kwa kawaida ambako hutokea kwenye tundu la haja kubwa, uke huwa hautoi gesi chafu ambazo hutoa harufu kali. Kitendo hiki kinaweza kutokea wakati wa tendo la ndoa, mazoezi au pale ambapo mwanamke anakuwa...
  10. USSR

    Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

    Jeshi la polisi mkoani Mara limekiri kumshikiria Gimusi Murimi 42 mkazi wa wilaya ya Serengeti kwa kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri kwa kumtuhumu kuchepuka wakati yeye akiwa hayupo nyumbani. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara RPC Tibishubwamu amesema mtuhumiwa huwa anaishi...
  11. M

    Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

    Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
  12. M

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Katika vitu ambavyo huwa navipa kipaumbele basi ni kuzamia chumvini wanawane. Ila umkute demu anajua kupakwosha kule. ...unaweza kuzama ukaibuka na magugumaji. Sasa napenda kujua madhara yake. =====
  13. Nduka Original

    Mpenzi wangu ana uke mkubwa ila bado nampenda

    Nimemkuta huyu mpenzi wangu akiwa na mtoto mmoja na sasa ni kipindi cha miaka saba sasa. Cha ajabu tulitumia miaka mitatu tulikuwa tunafanya kila kitu lakini aligoma kabisa kusex na mimi. Tulikuwa tunaenda chumbani au tunakaa kwenye gari tunafanya kila kitu ila ukimwambia msex hataki kabisa...
  14. K

    Sababu ya mwanaume kunasa kwenye uke na suluhisho lake

    Watu wengi ambao hua wanasikia kwamba mwanaume amenasa kwenye uke wa mwanamke hua wanadhani labda kuna mambo ya kishirikina yamehusika hasa kama ni mme au ni mke wa mtu kitu ambacho hua sio kweli wakati wote. Tatizo la uume kunaswa kwenye uke sio hadithi au imani kama watu wanavyofikiri, ila...
  15. mama D

    Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

    Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
  16. DeepPond

    Uhalisia: Wanawake wengi Duniani wana Uke mdogo kuliko wanaume wengi wanavyofikiri

    Kutokana tafiti mbalimbali za wataalam wa Takwimu (worlddata.com), mifumo ya uzazi ya wanawake(Gynaecologist),maswala ya ngono na mahusiano(sexologists). Ni kwamba, Kwa zaidi ya 70% ya wanawake wote duniani, 1. Mwanamke akiwa katika hali ya kawaida RELAXED MODE [emoji117]Uke wake unakua na...
  17. Superbug

    Ni kitu gani kinafanya uume usimame pindi macho yakiuona uke?

    Najiuliza ni stimulus gani au ni magnetic gani au ni chemical gani inayosimamisha uume pindi macho yakiuona uke? Mbona uume hausimami ukiona kucha goti mkono au tumbo? Kuna mawasiliano gani Kati ya uke na uume? Madaktari tusaidie kujua.
  18. J

    Fanya yafuatayo kulinda afya ya uke

    Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa asidi ya asili ya uke ambayo ni muhimu kwa sababu huzuia bakteria kukua. Aidha usitumie sabuni kuosha...
  19. Da Vinci XV

    MUNGU WA HEDHI: Hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukuta siku tatu

    MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule kwa sababu kuu mbili mandhari ya mji mkuu wa PARIS yanavutia sana , si ajabu kukuta wasanii wetu wa...
  20. Omuzaile

    Je, mwanamke anaweza kupata mimba huku akiwa anatumia vizuizi vya mimba?

    Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?
Back
Top Bottom