Heshima kwenu!
Kwa madaktari mliopo humu, je kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke wakati wa kufanya mapenzi!? Wanawake wengine huwa ni wakavu! Hivyo mate hutumika kama kilainishi.
Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi
Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian...
Bpharm: Chriss Johny
Tatizo la kuwa na ukavu ukeni hutokea wakati tishu za uke hukosa ute wa kutosha na uke kutokua na afya thabiti.
Kwa kawaida, kuta za uke hukaa zimehifadhiwa na safu nyembamba ya ute maji.
Dalili kuu ni kama vile kukosa hamu ya kuendelea KUSHIRIKI tendo, maumivu makali...
Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian alizaliwa bila mfuko wa kizazi.
"Hali hii ninayoishi nayo inachangamoto...
Shosti wangu analalamika sana kuhusu kuishi maisha ya uke wenza.Mumewe alimuolea mke mwenza na toka wakati huo maisha yao ni ya shida tupu.
Kiwango cha maisha kimeshuka sana. Hakuna maelewano baina yake na mume, ukiachilia mbali mke mwenzie. Nyumbani kumekua kama kituo cha polisi.
Kwa wale...
Nililala na mwanamke kwa mara ya kwanza nikiwa na akili timamu huku nina miaka 20. Alikuwa mke wa mtu, alinitongoza yeye mwenyewe nami nikaona ni zali la mentali(mchizi).
Maana nilikuwa kiongozi wa punyeto kijijini kwetu, cheo nilichojipa mimi mwenyewe.
Ile **** inanuka balaa, sema nilivumilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.