ukaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wayahudi ndio watu wanaoongoza kwa ukaidi hapa duniani licha ya kuwa Mungu alishawabainishia hoja zilizo wazi kabisa. Walimdai Musa awaoneshe Mungu

    Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua. Wakati Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alipohamia katika mji wa Madinah kutoka makkah alikuta jamii kubwa sana ya...
  2. Ghayo El Yehudi

    Kwanini Wayahudi wanaongoza kwa Ukaidi na Kuua Manabii wao?

    Mzuka wana jamvi .. Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ; 1. Yesu : Huyu walimfanyia figisu na kumchoma kwa Warumi na kumfanyia njama za kumuua na walikata neno lake na miujiza yote...
  3. K

    Uchambuzi: Tundu Lissu na Chadema: Waathirika wa Siasa za Unafiki na Ukaidi wa Sheria

    Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
  4. Tlaatlaah

    Angetii wito wa polisi bila shuruti kijana huyu wa CHADEMA asingelala korokoroni

    Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea.. Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu...
  5. M

    TANESCO kukata umeme Xmas ni ukaidi ama ndiyo wako juu ya Serikali

    Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
  6. polokwane

    Mkuu wa Mkoa Mbeya, Homera usiingilie sana masuala ya Walimu na Wanafunzi utawatia ukaidi zaidi wanafunzi

    Mh. Homera RC Mbeya: usiingilie sana mambo walimu na wanafunzi kwamba umejivika kuwa mtetezi wao hata kwa mambo ya kipumbavu na usichukulie mambo ya walimu na wanafunzi too emotional hasa haya ya kinidhamu unakosea sana. Nadhani umeaona mlivyo dhalilika kwenye swala la yule binti wa Dandahili...
  7. BARD AI

    Raila Odinga aitisha Maandamano, Ukaidi na Migomo dhidi ya Serikali ya Ruto kuanzia leo

    Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza matakwa ya Muungano huo. Odinga alimpa Ruto siku 14 kuharakisha kufunguliwa kwa Seva za Tume Huru...
  8. BARD AI

    Mwigulu anafanya kilekile alichokikataa kwa wenzake

    Lewis E. Gleeck Jr, ni mtumishi wa zamani wa Idara ya Mambo ya Nje, Marekani. Baada ya kustaafu, akiwa amelitumikia taifa lake kwenye nchi mbalimbali duniani, aliweka makazi yake Ufilipino, akifanya kazi na Shirika la Marekani la Misaada (USAID). Katika maisha yake, Gleeck aliandika vitabu 14...
  9. 0743919950

    SoC02 Ukaidi wa sheria kutoka kwa madereva na wamiliki vyombo vya usafiri maarufu kama bodaboda

    Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
  10. N

    Kwa uzungu huu na ukaidi wa viongozi wa simba kazi kesho tunayo

    sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana. Ni ujeuri na ukaidi tu, wanajua kesho tukifungwa watamtuma Ahmed Ally apooze watu na tararira mbili tatu maisha...
  11. J

    Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji. Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku. Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu...
Back
Top Bottom