Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1.
Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
Anonymous
Thread
afya
kituo
kituo cha afya
kufanya
mwanza
ukaguziukaguzi kituo cha afya
utendaji
viongozi
waje
wilaya
Bado imekuwa changamoto hasa kwa watumiaji wa vyombo vya moto.
Aidha ni kama Jeshi la Polisi halijajiandaa ama basi limekaa kisiasa zaidi.
Unafanya Aplication kwenye mfumo, Unalipia, unaweka appointment date ukifika unaelekezwa kwenda WILAYA nyingine kwaajili ya ukaguzi. Tatizo ni Eti Katika...
Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe.
***
Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha wanaviingiza katika Mfumo wa Uratibu wa Ukaguzi (MIMIS) na kukamilisha taratibu zote...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
Baada ya moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika shule ya Utumishi Girls Academy, serikali imeagiza ukaguzi wa haraka wa shule zote za boarding nchini ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi.
Basic Education Principal Secretary, Julius Bitok, amesema kuwa shule zote za boarding zitafanyiwa...
Muda mfupi baada ya Mwananchi aliyejitambulisha kuwa ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya hosteli katika chuo hicho, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Uongozi wa UDOM.
Awali Mdau huyo alisema baadhi ya Wanafunzi hasa...
Kwa hiyo serikali itaendelea hadi lini na mpango wa kusimama barabarani, kamatakamata ni na kukagua wananchi. Hii ni dalili tosha wananchi tunadharauliwa sana.
Hivi wakuu ile definition ya Democracy is a "government of the people, by the people, for the people," ni wakati sasa syllabus...
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama.
Vipi hali huko mitaani wakuu?
Wakuu, nipo hapa sehemu moja yaitwa Mbande ukielekea Kibaigwa ndo naandika haya niliyaona jana nilipokuwa nikimsindikiza mmoja wa marafiki zangu huko Dar JNIA.
Kuna kitu kimoja yawabidi Idara ya uhamiaji na usalama kujiongeza kidogo na kuwa na taarifa za uhakika na za papo kwa hapo kuhusu Idara...
Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote!
Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
Habari wakazi wa JamiiForums!
Kama ulikuwa umewahi kufika Jerry Spare Parts and Services kwa ajili ya huduma ya spare parts, repairs au diagnosis, sasa tunayo habari njema kwako! Kwa kutambua thamani ya uaminifu wako, tumeamua kurudisha fadhila kwa staili ya kipekee.
🎁 Tunakupa nafasi ya...
Ikiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, Kamati ya Ukaguzi ya TARURA imetembelea Miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya barabara mkoani Shinyanga.
Katika Manispaa ya Shinyanga Kamati ilitembelea ujenzi wa barabara ya Old...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini imeanza rasmi zoezi la ukaguzi wa ubora wa malori yanaingia bandarini kwa ajili ya kushusha na kupakia mizigo inayopita katika Bandari ya Dar es Salaaam.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye bandari...
WAKAGUZI wa Migodi ya Madini na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza ufanisi na kufuata taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma.
Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira, Mhandisi Hamisi Kamando jijini Mwanza wakati akifunga...
TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services
Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako!
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Free Car...
TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services
Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako!
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Free Car...
TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services
Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako!
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Free Car...
TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services
Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako!
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Free Car...