ukaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

    "Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali," Prof Assad, aliyekuwa CAG Wiki ya asasi za kiraia
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Hati zenye shaka na hati mbaya za ukaguzi kwa mwaka 2019/20

    Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo; Hati za Ukaguzi...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Aina nne za Hati za Ukaguzi zinazotolewa na CAG

    Baada ya kukamilisha ukaguzi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali hutoa Hati ya Ukaguzi kwa kila taasisi ya umma aliyoikagua. Hati ya Ukaguzi ni maoni ya Mkaguzi yatokanayo na ukaguzi alioufanya kwenye hesabu za taasisi au mamlaka yoyote ya umma. Hati ya Ukaguzi hutolewa na Mdhibiti...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania WAJIBU: Umuhimu wa Ukaguzi wa Hesabu

    Ukaguzi wa Hesabu kwenye Sekta ya Umma ni utaratibu wa kupitia usahihi wa taarifa za Mapato, Matumizi, mali, madeni pamoja na utendaji ili kubaini kama Sheria, Kanuni, Taratibu na thamani ya fedha zimezingatiwa Ni muhimu kuelewa taarifa za ukaguzi ili kufahamu jinsi Rasilimali za Umma...
  5. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Kampuni za Ukaguzi wa mahesabu (Accounting Auditing) hazirushuwi kujitangaza?

    Wakuu habari. Naomba niende straight kwenye mada. Nakumbuka miaka imepita kidogo, niliwahi kusoma mahala pameandikwa kuwa Auditing Firms azitakiwi kujitangaza kama aina nyengine za biashara. Siku ya leo nimetaka kuujua undani wa jambo hilo, naona kama nimekwama. Nimepekua huku na kule...
  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro achana na ukaguzi wa mafunzo ya kidini, staafu kwa fahari

    Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na wanaruhusiwa na sheria ipi kuingilia imani za watu? Afande Sirro mzee wangu unataka kufika mbali sana, staafu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limefanya zoezi la ukaguzi wa ubora wa bidhaa mbalimbali wilayani Kasulu-Kigoma

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuweka Mageti ya ukaguzi mitaani ni ishara ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi

    Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa, ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani . Pamoja na pongezi hizi kwa...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

    Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha. Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba...
  10. J

    JamiiForums Tanzania TBS wafanya zoezi la ukaguzi na kutoa elimu kwa wajasiriamali juu wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao

    Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi. TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  13. B

    JamiiForums Tanzania CAG fanya ukaguzi maalum kwa waliotumbuliwa ili kuona hasara Taifa iliyopata na ushauri mbinu kukabiliana na utumbuaji usio na tija

    Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila siku na bila hoja ya msingi. Clip ikirushwa mtandaoni tayari mtu amefukuzwa kazi bila kujali uhusika...
  14. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Sahihi kwa Askari kukagua Gari likiwa gereji?

    Hawa jamaa Askari wa usalama barabarani sasa wamehamia Gereji kabisa wanakagua madeni ya magari imekuwa kero kwa mafundi ni kwa vile tu hawana pakusema, wakikuta linadaiwa wanakomaa na fundi muhusika anauelitengeneza. Kwakweli nimewashuhudia Gereji mara nyingi sana na mafundi wamekuwa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tutawekeza kwenye teknolojia ili watu wasikaguliwe kwa kuvuliwa nguo Mererani

    Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu huvuliwa nguo zote kwa makundi na kuanza kupekuliwa hatua ambayo inaonekana ni ya kudhalilisha Waziri...
Back
Top Bottom