ujerumani

  1. USSR

    Ujenzi wa barabara Ujerumani vs Tanzania

    Ukisikia barabara inajengwa ndio hivi sio zile zenu za moram na kushindiliwa tu, hii barabara hata ikae miaka 200 bado utaikuta hivyo hivyo sio hizi za hapa Tanzania miezi tu hakuna kitu. USSR
  2. Webabu

    Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa. Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
  3. Lady Whistledown

    Olimpiki Siku ya 4: Soka la Wanawake, Ujerumani 4-1 Zambia

    LSOKA LA WANAWAKE: UJERUMANI YAICHAPA ZAMBIA 4-1 Mpira Wa Miguu (Wanawake) Nigeria Wapigwa na Japani, 3-1 Handball Misri na Ufaransa hakuna Mbabe, watoka sare 26-26 Mpira wa Mikono-Volley Ball (Wanawake) Poland 3-1 Kenya Mpira wa Kikapu (Wanaume) Marekani 96-83 Sudani Kusini Timu Mpira wa...
  4. Cute Wife

    Makambo Jr atimkia Ujerumani, alamba mkataba wa miaka 3

    Timu hii kule nchini Ujerumani inacheza daraja la 6 (Verbandsliga Hessen Süd) wakati huku team ya Mashujaa ilikuwa inacheza daraja la kwanza, hapa ameula au hoya hoya Wakuu? ==== Aliyekuwa mshambuliaji wa Mashujaa FC, Athuman Masumbuko 'Makambo Jr' amejiunga rasmi na Klabu ya 1.FCA Darmstadt...
  5. GENTAMYCINE

    Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  6. Mchochezi

    Ujerumani yaifunga Hungary 2-0 na kufuzu hatua ya 16 bora

    Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0. Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora.
  7. X

    Ujerumani na Italy zakataa mpango wa NATO wa msaada wa silaha kwa Ukraine kushambulia ndani ya mipaka ya Urusi

    Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets. Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa kichapo cha kutosha kutoka kwa Russia na majeshi ya Russia kuzidi kusonga mbele kuelekea mji muhimu wa...
  8. Bata batani

    Ujerumani na ufaransa waitosa marekani waungana pamoja norway na spain sakata la icc

    Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa .. Na kuitosa marekani
  9. MK254

    Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine. ======================== Muslim refugees heading...
  10. A

    Katika miaka 16 ya uongozi, Angela Merkel hakumteua ndugu yake yeyote katika nafasi ya uongozi serikalini

    In 16 years of power, Angela Merkel did not appoint any of her relatives to a state position. Germany said goodbye to its leader, physicist and quantum chemist, who was not tempted by fashion or lights and did not buy real estate, cars, yachts and private jets. They came out on their balconies...
  11. L

    Ziara ya Kansela wa Ujerumani nchini China yaonyesha juhudi za Ujerumani kurejesha uhusiano wa awali wa na China

    Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa ziara ya pili ya Scholz nchini China tangu ashike wadhifa huo, ziara ambayo inaleta ishara nzuri...
  12. R

    Ujerumani yaruhusu uvutaji wa bangi kwa kiwango kidogo

    Unaruhusiwa kubeba bangi kiasi cha gram 25 , unasokota na kuvuta hadharani. --- FRANKFURT, Germany (AP) — Marijuana campaigners in Germany lit celebratory joints on Monday as the country liberalized rules on cannabis to allow possession of small amounts. The German Cannabis Association, which...
  13. Lycaon pictus

    Nchi ya Ujerumani imepangika vizuri sana(Kiuchumi)

    Nchi nyingi duniani utasikia kuna jiji moja tu ambalo ndiyo kila kitu kwa nchi. Unakuta jiji la pili kwa umuhimu kwenye hiyo nchi linafuata kwa mbali sana. Mtu akisikia UK anawaza London. Mtu akisikia France anawaza Paris. Tanzania anawaza Dar es Salaam. Ujerumani ni tofauti kabisa. Kila mji ni...
  14. Webabu

    Chansela Scholtz wa Ujerumani asema gharama ya kupambana na Hamas hailingani na umuhimu wa lengo. Hawezi kukaa kimya kuona watu wanakufa namna ile

    Kiongozi wa Ujerumani, chansela Scholtz amemshushua Benjamin Netanyahu hadharani hapo jana wakati wa mjumuisho wa ziara yake nchini humo mbele ya waandishi wa habari. Kauli zake ni kuungana na viongozi wengi wa kimataifa ambao wameingiwa na huruma japo hatua wanazochukua haziendani na haja ya...
  15. B

    Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

    Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka: Kwamba: 1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote. 2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha...
  16. Roving Journalist

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

    Leo, Februari 28, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Christine Grau, pamoja na Thomas Terstegen, ambaye ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Ujumbe wa Mabalozi hao umepata nafasi ya kukutana na Watendaji wa JF na...
  17. N

    Japani yatumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa, Ujerumani sasa ni nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani

    Japan ilitumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa mwishoni mwa mwaka jana, na kupoteza yake kama taifa la tatu kwa uchumi duniani kwa Ujerumani na kuzua mashaka kuhusu ni lini benki kuu itaanza kujiondoa katika matumizi yake ya fedha ya muongo mmoja wa kulegeza sera ya fedha. Baadhi...
  18. Heparin

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Ujerumani awekwa chini ya uangalizi kwa kujihusisha na Siasa za mrengo wa kulia

    Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali. Masen leo ametoa barua kutoka kwa shirika la ujasusi la BfV kwa wakili wake baada ya vyombo vya habari vya...
  19. MK254

    Four Muslim students are said to have called for the introduction of strict Islamic rules at the school - including gender segregation in lessons

    Wamehamia kwenye nchi ya watu na kutaka kuanza kulazimisha matambiko ya dini yao. ========= Four Muslim students are said to have called for the introduction of strict Islamic rules at the school - including gender segregation in lessons. The police are investigating. NRW Interior Minister...
  20. I

    Ujerumani yaiunga mkono Israel kwenye kesi yake katika mahakama ya ICJ

    Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi. Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya wananchi wa Palestina madai ambayo serikali ya Ujerumani inadai...
Back
Top Bottom