Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS.
kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo
leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao
Zamani...
Leo tarehe 11 Sept, 2025, Katibu wa Mahusiano ya Kimataifa Chadema Deo Munishi amehitimisha ziara maalumu nchini Ujerumani kwa kukutana na wabunge pamoja na maafisa waandamizi wa serikali ya taifa hilo kwa shabaha ya kuwasilisha ujumbe maalumu wa chama juu ya anguko la demokrasia na...
Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja...
Wakati Ujerumani alikuwa akipokea kichapo kitakatifu kutokea upande wa mashariki na jeshi la Red army la mrusi, upande wa magharibi ya Ujerumani nako kichapo kilikuwa si haba...
Ujerumani wakati wa vita Ya pili ya dunia ilikuwa inategemea mto mkubwa uliokuwa mpakani kati yake na USwiss...
TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust and Safety" na "Live". Wafanyakazi hawa walikuwa wakihusika na usimamizi wa maudhui na usalama wa...
Wanaukumbi.
Ujerumani itasitisha uuzaji wa silaha zake kwa Israel ambazo zinaweza kutumika katika Ukanda wa Gaza, Kansela Friedrich Merz anasema kutokana na mipango ya Israel ya kuuteka mji wa Gaza.
Akizungumza muda mchache uliopita, Merz amesema serikali yake haitaidhinisha usafirishaji...
Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani baada ya mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.
Taarifa ikiishutumu Iran kwa kuishambulia Israel.
Inaonekana Ujerumani inateswa na historia yake
Hali ya Mashariki ya Kati imezidi kuwa mbaya kwa kasi kubwa usiku wa kuamkia leo. Israel...
Join us, on Thursday 12th of June 10:00 AM (EAT) this Thursday, 12th of June.for an exclusive webinar featuring a special guest, Mike. Mike has successfully navigated the journey from student life in Germany to a thriving career in Europe. Learn firsthand about university life, application tips...
Baada ya kuzidi kwa mfululizo wa mashambulizi ya mauaji ya raia ndani ya Ukraine siku za hivi karibuni kutoka kwa jeshi la Putin kansela mpya wa Ujerumani ameruhusu Ukraine kutumia silaha za Ujerumani kufanya mashambulizi popote kwenye maeneo ya kijeshi ndani ya Urusi.
Ni Muda tu lakini Tanzania itakuwa na mfumo kama wa Kenya kwasababu watu hao hao, wote wanapenda uhuru , jamii ni moja, utamaduni ni mmoja. Tofauti ya Kenya na Tanzania ni mifumo tu. Mfumo wa Kenya utashinda kwasbabu unaleta maendeleo zaidi na jamii ya watu wa Kenya na Tanzania wanapenda uhuru...
Huyu mtawala mpya wa Urusi ameamua kujitenga kabisa na Urusi na Iran na kuegemea magharibi,
Juzi amekutana na Trump Saudi Arabia, jana ametangaza kuachana na Urusi kuzalisha pesa zake.
Wengi wetu tunaposema “Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki”, wengine hucheka, wengine hushangaa, na wachache huelewa maana halisi ya kauli hii. Lakini kwa anayechambua historia, jiografia, diplomasia, uchumi, na nafasi ya kistratejia – Tanzania inaendelea kuwa kama Ujerumani katika Ulaya...
WABUNGE WA UJERUMANI NI:
Michael Gahler
David McAllister
Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
Friedrich Merz, amechaguliwa kuwa Kansela mpya wa Ujerumani siku ya Jumanne, katika duru ya pili ya upigaji kura, baada ya kushindwa kwa mshangao katika duru ya kwanza mapema siku hiyo. Merz amepata kura 325 kati ya 630.
Kiongozi wa chama cha kihafidhina nchini Ujerumani, Friedrich Merz...
Makabuli weusi nawaona wakianza kutafutana na hasa yule FW de Klerk mweusi wa Tanzania.
Ni wakati sasa wakuwanyosha hawa Makabulu na sana kiongozi wao FW de Klerk anapaswa kufundishwa utawala wa sheria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.