Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali.
Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba.
Kulingana na data za Ofisi...