Habari wanna jukwaa. Asanteni kwa muda wenu.
Nipo Goba, Dar es Salaam.
Nahitaji fundi Ujenzi mwenye uzoefu mzuri wa kujenga fence ndefu katika ardhi ya Dar es Salaam.
Pia nahitaji fundi mzuri wa plasta mwenye uzoefu wa kunyoosha kuta za majengo marefu kwenda juu.
Unaweza kunicheki inbox...