ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Ujenzi aahidi ujenzi wa daraja la Mitomoni kukamilika Septemba 2025

    Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema utekelezaji wa ujenzi wa daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 umefikia asilimia 21 unatekelezwa kupitia fedha za dharura zilizotolewa na bank ya dunia kupitia dirisha la Contigency Emegency response component (CEC)kwa gharama ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa daraja la kipanda lawanufaisha wananchi wa vijiji vya namsinde na mfuto wilayani Momba

    Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe. Akizungumza katika...
  4. JamiiForums Tanzania YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  5. JamiiForums Tanzania Ila Ujenzi wa bongo huwa ni pure comedy! Tunaanzaga kwanza na fundi MAIKO alafu akizungua ndio tuna mtafuta fundi MICHAEL 🤣

    Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti. Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli. Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika hata zaidi ya pesa tungeempa fundi aliehitaji pesa ndefu. (MICHAEL)
  6. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine. Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ukikwepa sana ghalama za ujenzi utaharibu ubora wa nyumba yako

    Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama. Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka : Wajue majini mustwafain na ujenzi wa peramidi za giza-Misri

    Naam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV. Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  10. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara unaoendelea maeneo mengi ya Dar kwa wakati mmoja, Je, ilifanyika tathmini ya awali kubaini athari?

    Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na kilio cha foleni hasa kutokana na ujenzi unaondelea katika meneo mengi hususani njia za mwendokasi pamoja na utanuzi wa barabara za kawaida. Natumaini ni matamanio ya kila mmoja wetu humu kuona...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mtenga awahakikishia wananchi Mtwara kuanza kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Julai, 2025

    Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Hassan Mtenga amesema kuanzia Julai 2025 serikiali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kumaliza kilio cha wananchi wa mkoa wa Mtwara kwa kuanza ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi mkoani humo. Akizungumza wakati wa ghafla fupi ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtwara: Zaidi ya milioni 143 zatumika kwenye ujenzi, jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD)

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Ismail Ali Ussi, ameridhia rasmi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kisasa la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD) lililojengwa katika Zahanati ya Mtawanya, Manispaa ya Mtwara Mikindani, kwa kutumia fedha za mapato ya ndani kiasi cha shilingi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani aeleza Ujenzi wa barabara ya Nyakahanga – Nyabiyonza – Masheli unavyonufaisha wananchi Karagwe

    Wananchi wilayani Karagwe mkoani Kagera wameeleza kunufaika na ujenzi wa barabara ya Nyakahanga-Nyabiyonza -Masheli ambapo kero ya usafiri iliyokuwepo imeondolewa baada ya matengenezo ya maeneo korofi. Akiongea katika mahojiano maalum, Diwani wa Kata ya Nyakahanga, Charles Beichumila ameeleza...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji supplier wa vifaa vya Ujenzi na Hardware

    Habari wadau wa jukwaa hili. Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni. Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo (nimeweka Tsh 9mil ukiachana na gharama za kodi, shelves na matengenezo mengine madogo madogo)...
  15. JamiiForums Tanzania Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

    Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa Mimi nikiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba kabla haujaanza ujenzi

    Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba ni mkubwa sana kabla ya kuanza ujenzi. Hapa ni sababu kuu: 1. Mwongozo wa Ujenzi: Ramani inaelekeza kila hatua ya ujenzi, kuanzia msingi hadi paa. 2. Kuzuia Makosa: Inasaidia kuepuka makosa ya kiufundi, kupunguza uharibifu wa vifaa na kazi ya kurudia. 3...
  17. JamiiForums Tanzania Fatma Mwassa: Ifanyike tathimini waliojenga eneo la Mto Kanoni (Bukoba). Inadaiwa wamepelekea ujenzi wa daraja kusuasua

    Ikiwa imepita miezi minne tokea Mwanachama wa JamiiForums.com adai kwamba kuna ujenzi holela wa 'Night Club & Bar' ambapo alidai sehemu ya miundombinu yake imejengwa kwenye eneo la Hifadhi ya Mto Kanoni, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa amefanya ziara eneo hilo akiwa na wataalamu wa mipango...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) wafikia zaidi ya asilimia 85

    Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesomewa taarifa hiyo alipotembelea ujenzi huo ili kuona maendeleo yake. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 112.3, ni miongoni mwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya ili kutoa huduma stahiki kwa wananchi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema Serikali itaendelea kutenga na kupeleka fedha kwenye halmashauri zote nchini kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya vituo vya afya ili viweze kutoa huduma stahiki kwa wananchi. Dkt. Duagange ameyasema hayo Bungeni Jijini...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida Gallos na Ujenzi wa Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Magharibi na Wilaya (Dimani na Mfenesini)

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS NA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKATIBU UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mbunge amekabidhi fedha kwa ajili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…