ujenzi

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Hii sio Dunia ya Serikali kuhodhi ujenzi wa miradi yote mpaka choo- David Kafulila

    Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi. == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nje ya Sanaa ya muziki, Civilian-Coin pia ni fundi ujenzi.

    Msanii wa muziki kutoka Tanzania anaye ghani mashairi yake kwa lugha ya kiingereza pia ni fundi ujenzi wa majengo na mbunifu wa kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi, hujishughulisha na shughuli za ujenzi ambazo humusaidia kukamilisha mipango yake ya Sanaa ya muziki na maswala ya kiuandishi wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wakoloni weupe wangeendelea kubaki, hebu angalia mpango huu mkubwa wa reli wa kuiunganisha Tanganyika uliovurugwa na vita ya dunia

    Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika. Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
  4. JamiiForums Tanzania Ujenzi mtambo wa kusafisha mafuta Jiji Tanga naipongeza serekali

    Heshima sana wanajamvi, Kati ya mambo yaliyonisikitisha ni mwaka huu ni mradi wa ujenzi kuhamishiwa Mombasa. Nilimsikia Rais Ruto na baadae Rais Samia. Kauli ya Dangote ya kupeleka mradi Kenya ilinipasua moyo wangu vipande vipande.Nilimchukia,nilimwona ni tajiri mwenye nyodo za kipuuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Samia Suluhu Hassan kwa mkataba wa ujenzi wa Petroleum Refinary Tanga

    Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga. Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary. Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati Ethiopia ikijipanga kujenga mabwawa mengine ya umeme mto Nile, Egypt imeanza kutapatapa kwa Kutishia Haitaruhusu ujenzi mwingine

    My Take Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake. ------------ Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile. Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
  7. JamiiForums Tanzania Usanii wa Ulega-Wizara ya Ujenzi

    Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali. Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani. Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi. Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS. Haiwezekani kampuni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vifaa Used Vya Ujenzi Vinaendaga Wapi?

    Kwema wakuu? Kuna kitu nimewaza hapa. Mfano mtu anajenga akanunua mirunda au Marine Boards. Akimaliza kujenga ni wazi hivi vifaa havitotumika tena. Hua vinaendaga wapi baadae? Kuna watu hua wananunua au kuuza hivi vitu? Nimewaza wajenzi wengi wanaweza kuokoa gharama kubwa kama kutakua na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni...
  10. JamiiForums Tanzania Nafurahishwa sana na mlipuko wa ujenzi wa maghorofa Kariakoo, wenye nyumba za chini mliobaki pisheni, acheni ubishi

    Najua kwamba kuna uwezekano mkubwa pesa zinazotumika kununua viwanja na kujenga maghorofa Kariakoo ni pesa za upigaji (pesa zenye kona kona) , lakini nimetafakari na kuona kwamba ni bora anaeiba Tz na kujenga Tz , kuliko wanasiasa na wahindi wanaopiga pesa nchi na kwenda kuzificha uingereza na...
  11. JamiiForums Tanzania 20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

    Habari marafiki. Mkononi nina kama 20M hivi, kuna kiwanja kama 25×20 nimekipata Morogoro Road, eneo linaitwa Madafu, kwa 3M. Mkononi nitabakiwa na 17M. Je, wakuu, naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta, au niendelee kusubiri kwanza?
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukuta mafundi ujenzi hawana vifaa vya usalama Kariakoo ni kawaida, wengine wanapanda ghorofani kujenga wakiwa na yeboyebo

    Kero yangu ni ujenzi holela unaoendelea maeneo ya Kariakoo, mamlaka zifanye ziara za kushtukiza, maeneo mengi mafundi wako ghorofa ya 8 au yoyote ile ya juu lakini kuwakuta wakiwa hawana vifaa vya kinga hilo ni jambo la kawaida. Unakuta wananing'inia huku miguu wamevaa yeboyebo, hakuna mwenye...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Michese ujenzi utaisha lini? Diversion ni ndefu inayoongeza gharama ya nauli

    Barabara kipande cha vumbi Michese Dodoma ni kero kubwa na baada ya njia rasmi ya magari kufungwa na inayokusudiwa na wasafiri kutopewa umuhimu sisi wakazi wa Michese tunateseka saana usafiri umekuwa mgumu saaana ni kama hatuna diwani wala serikali. Njia rasmi ilifungwa kupisha SGR inayokwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nani anaruhusu ujenzi katika maeneo ya Hifadhi ya Morogoro Road (Kimara–Mbezi Luis)? Je, tumesahau yaliyotokea 2017?

    Takribani miaka 10 iliyopita, Watanzania walishuhudia moja ya operesheni kubwa za ubomoaji wa makazi na biashara zilizokuwa kandokando ya Barabara ya Morogoro, maarufu kama Morogoro Road. Kuanzia Korogwe, Kimara, Mbezi Luis hadi Kibamba, nyumba, maduka na vitega uchumi vilibomolewa kwa maelezo...
  16. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Ujenzi wa SGR Makutupora ni 14% wakati angelikuwepo hayati Magufuli Ujenzi wa SGR ungekuwa umefika Mwanza kwa 100%

    Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao. Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr ingekuwa imeshakamilika.
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega atangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja Malinyi na Ulanga

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika wilaya za Malinyi na Ulanga, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi. Miradi hiyo inahusisha ujenzi wa barabara ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Majengo, Kizota na Stendi Ndogo ya Mnada Mpya

    Wana bodi, kumekucha, tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia uzima. Naomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshwaji wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Majengo, Kizota na Stendi Ndogo ya Mnada Mpya. Tunaomba kufahamu miradi hii itakamilika lini. Tunaiomba Serikali, pamoja na viongozi na wasimamizi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kipekee sana Rais Samia anaweka alama nyingine ya maendeleo nchini kwa ujenzi wa shule 103 za Amali

    Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii. Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…