ujenzi wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ujenzi wa Barabara hii ya Bukoba Manispaa ulitakiwa kukamilika Oktoba 2024, haujakamilika hadi Februari 2026

    Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
  2. H

    Ghati Chomete ahoji ujenzi wa barabara ya Musoma-Makojo-Busekela kiwango cha lami

    MHE. GHATI CHOMETE AHOJI UJENZI WA BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKELA KIWANGO CHA LAMI. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete leo tarehe 28 Januari, 2026 akiwa katika Mwendelezo wa Bunge la 13, Mkutano wa 2, Kikao cha 2 amehoji kuhusu mkakati wa Serikali kuanza ujenzi...
  3. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Rais Samia ameimarisha uchumi Geita kupitia ujenzi wa Barabara ya Kasamwa-Gamashi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
  4. N

    Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope! Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
  5. Bawabu wa pili

    Hivi ujenzi wa Barabara Dar utaisha lini?

    Unajua imekua kama kero hivi, yaani miaka inaendaga inarudi ila kila siku Dar es salaam wapo kwenye ujenzi wa barabara. Hivi ni ujenzi wa miundo mbinu gani hii isiyoisha? Ujue kuna maeneo Dar ukipita unaweza dhani upo mkoani? Nauliza tu, kwamba Serikali imeshindwa kutenga hata mwaka mmoja au...
  6. Pfizer

    DAWASA: Ujenzi wa Barabara na Maji kutokutoka Muda mrefu, Chanzo cha maji kutoka na Vumbi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imechukua hatua za haraka kuboresha hali ya kihuduma katika baadhi ya maeneo kufuatia taarifa za uwepo wa Maji yenye muonekano wenye vumbi. Mamlaka imebaini kuwa hali hii imesababishwa na mambo kadhaa ikiwemo: 1. Miundombinu ya...
  7. M

    Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  8. Mafyangula

    PostGE2025 Waziri Ulega: Natoa miezi miwili ya mwisho kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta kama mkataba unavyosema la sivyo serikali itauvunja na kutafuta mkandarasi mwingine. Akizungumza wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya barabara...
  9. Roving Journalist

    Waziri wa Ujenzi aagiza Wakandarasi Wachina wanaokwamisha ujenzi wa Barabara wawekwe ndani

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuwekwa ndani kwa wakandarasi wa kampuni kutoka China ambao wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba wa ujenzi wa barabara ingawa serikali imetimiwa wajibu wake kwa kulipa sehemu ya malipo. Ulega amesema juhudi za kutaka vigogo wa kampuni hiyo kuja...
  10. Mafyangula

    GE2025 Dk Tulia Ackson nitahakikisha Barabara ya Lami kutoka Uyole-Ilemi inajengwa

    Mgombea ubunge wa Uyole kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson amesema atahakikisha barabara ya Juhudi mpaka Ilemi inajengwa kiwango cha lami ili kuondoa adha kwa wananchi katika msimu wa mvua. Dk Tulia amesema hayo leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 katika mkutano wa kampeni wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dkt. Jafari atangaza ujenzi wa barabara na Hospitali mpya Busanda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda kupitia chama cha CCM, DKT. Jafari Seif, amezindua rasmi kampeni zake akitangaza ajenda kuu ya kuimarisha miundombinu ya barabara na huduma za afya. Katika hotuba yake ya uzinduzi, DKT. Jafari ameeleza mpango wa kujenga barabara mpya itakayounganisha majimbo...
  12. tonicimmobility

    KERO Mipangilio mibovu kwenye ujenzi wa barabara za vingunguti, airport na majumba 6 kunasababisha foleni barabarani

    Kama unaenda Ubungo au Buguruni kupitia barabara ya Mandela tafuta njia mbadala, si kwa hii foleni. Barabara mchepuko za vingunguti, airport na majumba 6 zimefungwa kwa wakati mmoja lazima foleni zitokee. Hakuna mipangilio kwenye ujenzi wa barabara na wanajua kuwa DSM ina msongamano mkubwa wa...
  13. tonicimmobility

    GE2025 Samia kujenga kituo kikubwa cha mabasi na soko la kisasa Igunga

    Akiwa Igunga Mkoani Tabora kwenye muendelezo wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Kituo kikuu cha Mabasi Igunga pamoja na soko kuu la Igunga ikiwa atachaguliwa kuongoza tena Tanzania kwa kipindi kingine cha...
  14. Nipe Maji

    GE2025 Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi Arusha

    Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
  15. Roving Journalist

    DC afika eneo la Mtemi Beda, asema ujenzi wa Barabara na Daraja ulikwama sababu ya mvua, Mkandarasi amerejea ‘site’

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda Kitongoji cha Milala Shongo Kijiji cha Milala, ufafanuzi umetolewa sababu ya kukwama kwa mradi huo...
  16. Carlos The Jackal

    Serikali ya Samia , Ilizuia mara Moja Ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Makao Makuu Wilaya Ngorongoro-Arusha ,iloanzwa kujengwa na Hayati Magufuli

    Kumbe Hayati Magufuli, Kwa kuhakikisha Anaunganisha Nchi Kwa Barabara zenye kiwango cha Lami Tanzia nzima. Alianzisha Ujenzi Wa Barabara Kwa Kiwango Cha Lami uliokua unaunganisha Makao Makuu ya Wilaya ya Ngorongoro Hadi Arusha . Aliyenipa Taarifa hiii, ambaye pia ni Kiongozi Mkubwa wa CCM na...
  17. S

    Ujenzi wa barabara Jwangwani

    Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko. Au Kwa...
  18. Nipe Maji

    GE2025 Trilioni 11.4 zatekelezwa kwa miradi ya maendeleo Kigoma, shilingi bilioni 731.5 zatumika kwenye ujenzi wa barabara

    Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Kigoma umepokea jumla ya shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 731.5 zimetumika kwenye ujenzi...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Mchengerwa Ataka Kukamilika kwa Ujenzi wa Barabara Jimbo la Ukonga kwa Wakati.

    Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati. Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
  20. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
Back
Top Bottom