uislamu

  1. Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim...
  2. Mtoto wa kiongozi wa kundi la HAMAS abadili dini na kuwa MKRISTO na kuelezea yanayofanyika ndani ya Hamas

    Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa...
  3. Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

    Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe. Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana...
  4. Hii dunia ni yetu pekee na watu wote ni watumwa wetu (kumbukumbu zangu Juni 17, 2020)

    Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya kikundi kimoja cha itikadi za kidini na kisiasa cha wafuasi wa juu kivyeo ndani ya chama hicho. Na...
  5. Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  6. Waafrika tujitafute, Ukristo na Uislamu si kwa ajili ya mtu mweusi

    Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu. Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi. Mtu...
  7. Hili bango karibu na Ubalozi wa Ufaransa limenifikirisha

    Juzi nilipita maeneo ya karibu na Ubalozi wa Ufaransa nikaona bango moja limeandikwa "Kifo cha Imam Husain kinatukumbusha umuhimu wa Uhuru". Huwa nina kawaida nikiona mabango ya dini napendaga kufuatilia zaidi maandiko yale hasa kama kuna ujumbe ambao umenigusa wakati huo. Ila kuna kitu zaidi...
  8. Uislamu uheshimiwe kuanzia ndani, kabla ya kuheshimiwa na wengine

    Amani iwe nanyi Ndugu zangu Waamini wa dini ya Kiislamu. Pokeeni Salamu kutoka kwa Ndugu wa Imani ya Mungu mmoja kwa muongozo wa Injili Takatifu na Mjumbe wake Yesu Kristo. Mimi ni shuhuda wa wazi wa Imani yenu kwa sababu, Uungwana wenu umenipa fursa ya kuijua imani yenu Takatifu na kujifunza...
  9. B

    Kinachopingwa na TEC na Watanzania walio wengi siyo Uarabu wala Uislamu; ushahidi ni miradi ya SGR na JNHPP

    Habari wana Jamii Forums, Pasipo kupoteza muda, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusiana na baadhi ya watu walioishiwa hoja za kuunga mkono mkataba tata wa DPW. Hivyo baadhi wamejikuta wakitumia hoja ya udini na uarabu. Wanaopinga mkataba...
  10. Kwanini tende zinahusishwa na Uislamu?

    Tende ni kati ya matunda ninayoyapendelea sana. Nilianza kuyatumia kwa kuvutiwa na ladha yake, sikujali sana faida zake kiafya, na wala sikuwa nikizifahamu. Ni hivi karibuni, tena kupitia nyuzi za humu Jamii Forum, nilifahamu kuwa tende si tunda lenye ladha nzuri tu, bali pia lina faida lukuki...
  11. Uislamu Siyo Kilema, Waislamu acheni kulia lia Tunapowakosoa

    Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile...
  12. Uislamu ni tofauti na wengi tunavyouchukulia: Haya ni mambo ambayo watu walielewa tofauti kuhusu uislamu

    Salaam alaykum... Wengi wamekuwa wakipotosha watu kuhusu uislamu mpaka watu hao (wapotoshwaji) wamekuwa wakiona uislamu ni kitu kisichofaa katika jamii. Haijaisha hapo tu bali hata waliofuata huo uislamu wamepotoshwa baadhi ya mambo mpaka kufikia kuona dini yao ni chungu na ngumu kutekeleza...
  13. Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu? Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa. Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya...
  14. Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

    Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja. Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu...
  15. Je, hii ni sahihi katika dini ya Uislamu???

    Kutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongoza Sala ya Ijumaa. 👉 I mean no malice to nobody.
  16. Mti wa mitunda ndiyo hupigwa mawe, uislamu utakuwepo na utazidi kuwepo! Allah akbar

    Imam Mwanamke' Amina Wadud: Kutoka kufasiri Quran hadi kuongoza sala ya Ijumaa Mmarekani mwenye asili ya Afrika, Amina Wadud - ambaye alichagua kuandika jina lake kwa herufi ndogo, kulingana na herufi za Kiarabu ambazo hazitambui herufi kubwa - alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza sala ya Ijumaa...
  17. Uislamu na Adhabu ya kifo ni ubatili wa Imani ya haki

    Hello JF, Hivi asili ya watu wanaomriwa kuuwa au kunyongwa baada ya kukutwa na makosa ya yanauoadhibiwa na nguzo za kidini je, wapo wa Royal family au ndio wale makabwela wale wenye African origin? Mwenye history ya hukumu hizo aweke bayana kama hizo Adhabu hazikuwa kwa wenye asili ya Africa...
  18. Duniani Dini inayotambulika ni moja Uislamu na ulikuwepo kabla ya adamu( a.s)

    ... Soma kuhusu uislamu ni nini? Utapata jibu, huwezi kupata maarifa bila kusoma Someni . mtume Mohammad alikuja kukamilisha maana ndo mtume wa mwisho hakuna mwingine mpaka kiyama kinasimama. QUR'AN Ndo kitabu kitukufu pekee duniani maana kimekamilika kila idara utofauti unakuja kutokana na de...
  19. Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

    Hello JF, 👇👇👇 Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi. Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji...
  20. Mkristo kufunga mwezi wa Ramadhan haikubaliwi ni mpaka aukubali uislamu kwanza: Uliza swali lolote kuhusu Ramadhan nitakujibu

    Katika nyumba kama mnaishi na Mkristo hakikisheni mnampatia chakula kama ilivyo desturi, Kama kuna Mkristo ambaye anafunga mwezi wa Ramadhani, jambo la kwanza ni yeye kuukubali na kuingia kwenye Uislamu, kwa sababu kufunga bila kuingia Uislamu hakutamnufaisha. Kwa hiyo ni muhimu kwake, kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…