uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Shaka aambiwe hata kukosolewa Rais Samia ni uhuru wa maoni binafsi

    Huu upuuzi wa eti akikosolewa fulani ni kosa na hali ikiwa vilevile kwa mwingine eti ni uhuru wa maoni si sawasawa kabisa. Jana amenukuliwa Shaka msemaji wa CCM akisema wale wote walio mshambulia Ndugai eti wametoa maoni yao binafsi na ni uhuru wao. Ajabu kupitia huohuo uhuru wa maoni binafsi...
  2. JamiiForums Tanzania CCM kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali kikundi kilichoshika mateka uhuru wa kutoa maoni na hakitaki mwenyekiti akosolewe.

    Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
  3. JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

    == Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wacha sasa nitete na wale tuliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Serikali ya Tanzania. Naamini tutakubaliana kuwa "Tangu Tanzania iwe huru hatujawahi kuwa na shule za Serikali za Msingi na Sekondari zenye hadhi na mwonekano kama...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wana haraka kuliko miaka 60 ya Uhuru

    Unapouliza mapungufu kwenye masuala ya demokrasia yetu nchini ni rahisi sana kusikia kuwa demokrasia yetu bado ni changa sana ukilinganisha Na nchi za marekani Na ulaya, hivyo bado tunajifunza polepole ili tufike kwa wenzetu wenye zaidi ya miaka 200 na kuombwa tusijilinganishe nao. Uchanga...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akiongelea kuhusu tarehe ya Uhuru wa Zanzibar

  6. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: Historia ya wapigania uhuru haifahamiki

  7. B

    JamiiForums Tanzania Kenya waadhimisha siku ya Uhuru - Tunayo ya Kujifunza

    Kujifunza ni jambo la kheri kwa waungwana. Kwa hakika hawakukosea waliotambua elimu haina mwisho. Kwa umoja wao bila kujali itikadi zao kisiasa, walikuwa na neno la faraja kwa ajili yao. Ama kweli penye wengi hapaharibiki jambo na ndiyo maana wanachanja mbuga.
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aelekeza mambo sita yanayopaswa kufanywa tunapoanza mwaka wa 61 wa Uhuru wa Tanganyika

    Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera. 1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola. 2...
  10. JamiiForums Tanzania Ni aibu ya mwaka: 60 tena

    Ni miaka 60 sasa tangu Taifa letu pendwa kujipatia uhuru wake toka kwa watu wasiostaarabika wa zamani hizo. Leo hii tunapoadhimisha miongo 6 ya uhuru, umoja, amani na mshikamano kuna watu wazima na akili zao timamu wanakaa mitandaoni ni kutukanana mambo ya kijinga kijinga kabisa kama vile...
  11. JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Rais Samia na Rais Kenyatta kuhusu makazi na ardhi ni hatari Sana kwa Watanzania

    Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
  12. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar

    leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar uliopatikana tarehe 10 December 1963. Hivi CCM wanafaidika na nini kuendelea kuhubiri uwongo na kutokubali kuutambua? Happy Independence Day
  13. B

    JamiiForums Tanzania Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi. Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa. Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna bora ya kusherehekea Uhuru bila kuonesha silaha za kivita?

    Kuna jambo huwa linanitatiza sana kwenye hizi sherehe za kiserikali, uhuru au muungano. Yaani imekuwa ni kama formula kwamba uhuru lazima tuoneshe masilaha ya kivita na makomandoo wapite pale wakirukaruka. Mi nahisi, kuna kitu hakipo sawa kuhusu hili suala. Yaani ni kwanini sherehe za uhuru wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli tuna uhuru?

    Kama kwl nchi yetu iko huru vyanzo vyake vya mapato mbona vinapingana?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tumesherehekea uhuru wa Tanganyika na siyo wa Tanzania wala siyo wa Tanzania bara. Tanzania haiwezi kusherehekea uhuru maana haijawahi kutawaliwa

    Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania. Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa inatawaliwa na mkoloni yupi! Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania wala Tanzania bara!! Tumeamua kupotosha...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, kusherekea uhuru hakuna maana na bora siku hii iwe siku ya kazi tu kama siku zingine

    By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Leo pia chakula kutoka kwa familia ya Freeman Mbowe kimekataliwa gereza la Ukonga. sababu zilizotolewa ni kwamba huo ndio utaratibu mpya na maelekezo yapo hivyo hadi hapo watakapotoa utaratibu mwingine. Kumbuka leo ni maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika...
  18. JamiiForums Tanzania Karibu keki ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Karibu keki ya Miaka 60 ya uhuru
  19. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Clubhouse Session: Miaka 60 ya Uhuru mchango wa Kidijitali

    Katika siku za karibuni mitandao ya kijamii na Mifumo ya Kidijitali imekuwa maeneo muhimu kwa Jamii ya Tanzania kutumia Uhuru wa Kujieleza na kupigania haki zao nyingine Tukifurahia Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni kwa kiwango gani tumeweza kuitumia mifumo ya Digitali katika kusimamia Haki za...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…