Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na...
Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine.
Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya...
Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea nchini.
Katika Jimbo la Muhambwe, Mwenge wa Uhuru umezindua Miradi ya Maji, Madarasa, Bweni na...
https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).
Tukio...
amani
balozi
balozi wa marekani
demokrasia
gani
hatari
hekima
kabudi
kongamano
kukimbia
kuliko
kwao
mabavu
mara
marekani
mbowe
moja
muafaka
muhimu
mwakilishi
nchini
prof kabudi
rais
ripoti ya uzinduzi wa hali ya demokrasia nchini
sana
taifa
tcd
ubaya
uhuru
umoja
usalama
usalama wa taifa
utulivu
wakati
Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia.
Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
Salamu,
Napata wakati mgumu sana nikiwaza juu ya kuuawa kwa Rtd Officer, Ally Mohammed Kibao, natafakari sana na sijaweza kuwa sawa kuhusu kifo cha huyu mtu muhimu sana kwa Taifa.
Nawaza ya kwamba waliomuua Ally Kibao wana leseni ya kumuua awaye yeyote yule.
Mti wenye damu huzaa matunda...
Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao.
Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
Sijali Sijaona anamzungumza baba yake.
SIJALI SIJAONA ALIPOTEMBELEA MAKTABA
Sijali Adam Sijaona mtoto wa Lawi Nangwanda Sijaona ametembelea Maktaba na tumejaliwa kufanya mazungumzo kuhusu baba yake.
Sijali amerithi hazina kubwa sana ya nyaraka na picha adim za harakati ya kupigania uhuru wa...
Nini msingi wa sisi kupigania uhuru ? Kama uhuru wenyewe haupo ?
Bora wale wazee wa kiislam wangeendelea kunywa tu kahawa na kuachana na yule kijana wa Butiama.
Ingeelewaka moja kuwa tupo kwenye ukoloni wa mzungu mpaka leo.
Ilikuwa haina haja yule kijana wa Butiama kupokelewa kwa mikono...
Swala la kufungwa kwa barabara na kusimama kwa shughuli za usafirishaji kwa masaa kadhaa wakati wa msafara wa Mwenge wa Uhuru limezua mjadala nchini Tanzania. Wakati Mwenge wa Uhuru una umuhimu wa kihistoria na kitamaduni, ukihusishwa na kampeni za kitaifa kama vile vita dhidi ya malaria, ujenzi...
Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe 1 Septemba 2024.
https://www.youtube.com/live/osYsFlm-yM4?si=1Cpa3zDEHIfIEkcn
"Jeshi letu...
Kuna Mwanazuoni mmoja anaitwa F.G.Riggs yeye aliefafanua maana ya Maendeleo(Development) kwa Dhana ya Development is Autonomous in which society are able to shape their Social,Economic and Political Enviroment(Ecology).
JE,jamii nyingi za kiafrika zimeweza kufikia maendeleo?Maendeleo ya...
Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua inyeshapo, maji hayapatikani kwa masaa 24 kwa wiki.
Tukilinganisha na nchi kama China, yenye watu 1.3...
Tulifikiri nchi yetu inatoka katika giza la siku zilizopita ambazo zilighubikwa na uhasama wa kisiasa na matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwazuia wapinzani kushiriki siasa.
Tunasikitika kuona yale yaliyoichafua Tanzania ndani na nje ya mipaka yake yamerudi tena;
-utekaji
-kuzuia wanasiasa wa...