uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    KERO Ukimya wa Uhamiaji na Maumivu ya Wananchi Wanaosubiri Pasipoti

    Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo sijapatiwa huduma hiyo kutoka Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa ‘mfumo unaboreshwa.’ Swali ni: maboresho haya yana mwisho lini, na kwa nini hakuna taarifa rasmi, ya wazi na ya kuwajibika kwa...
  2. A

    KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  3. Fascinating

    Inasikitisha Jinsi Njaa na Tamaa Zinavyochafua Taifa: "Recharging Hope" Wameanika Mizengwe ya Rushwa waliyoikuta Tanzania

    Kuna mfululizo wa dokumentari nilikuwa naufuatilia unaoonyesha safari ya timu ya Recharging Hope. Hawa ni vijana wabunifu, wanaosafiri kwa pikipiki zinazotumia umeme wa jua (Solar-powered electric motorcycles) kutoka Nairobi kuelekea Cape Town. Lengo lao ni kuonyesha kuwa teknolojia za kijani...
  4. A

    KERO Kutopatikana kwa mfumo wa Uhamiaji

    Tarehe 4 Marchi uhamiaji walitangaza mfumo wa kielektroniki haupatikani , lakini hadi leo tarehe 11 March mfumo bado haupatikani, je kwa safari za dharura utaratibu upoje ? naomba kusaidiwa
  5. A

    KERO Uhamiaji Shinyanga wanatuzungusha kutoa Passport na hakuna majibu ya kueleweka

    Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda sikuhudumiwa hadi nahisi kuchoka. Tunaomba mzitaarifu mamlaka za juu maana haya mambo yanakita...
  6. A

    KERO Idara ya Uhamiaji Mafinga ina usumbufu sana unapotaka kupata NIDA ID

    Idara ya Uhamiaji wilaya ya Mufindi wamekuwa na usumbufu sana kwa wananchi na kupelekea wengi kukosa vitambulisho vya NIDA. Hii ni inatokana na maafisa pale kuwarudisha wananchi hata kama zile nyaraka muhimu wakiwa nazo kama cheti cha kuzaliwa, au hati ya mpiga kura.
  7. BigTall

    KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
  8. Waufukweni

    Mwigulu ataka taratibu za uhamiaji zirahisishwe AFCON 2027

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani na Tamisemi kukamilisha maandalizi ya mipakani kuelekea Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON 2027) zitakazoandaliwa kwa ushirikiano wa Tanzania, Kenya na Uganda. Akizungumza Namanga, Arusha Februari 23, 2026, amesema...
  9. M

    KERO Maafisa na Askari wa Uhamiaji tunateseka kwa uhamisho bila malipo

    Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho. Tunatambua kuwa sisi ni kada ya Askari lakini haiondoi ukweli kuwa sisi ni binadamu, tuna familia zinatutegemea na ni haki yetu...
  10. BigTall

    Kuna harufu ya rushwa Idara ya Uhamiaji kutumika kuhuisha vibali kwa raia wa China waliomaliza muda wa kuwepo nchini

    Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwepo mijadala kuhusu kasi ya ongezeko la raia wa kigeni kutoka China. Kasi hiyo imeibua mijadala mseto katika jamii, hususan kupitia mitandao ya kijamii. Kuna kundi linaloona kuwa kasi hiyo inaweza kuchochea mabadiliko ya kiuchumi, hasa katika sekta ya...
  11. Roving Journalist

    Katambi: Tumedhibiti wimbi la wahamiaji haramu, Uhamiaji imedhibiti na kufunga njia za vipenyo 1,777

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba Sabini na Saba vilivyopo maeneo mbalimbali nchini, vilivyokua vinatumika kuingia nchini kwa njia...
  12. A

    KERO Wahitimu wa chuo cha Tanzania Institute of Accountacy waliomaliza 2022 taarifa zao hazipo TCU wala NACTE. Wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji

    Wahitimu wa chuo cha Tanzania institute of accountacy waliomaliza 2022 Taharifa zao hazipo TCU wala NACTE na wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji. Wakituma details zao kama namba za registaration na cheti hakitambuliki na deadline inakaribia january 11/2026 watu wengi watakosa fursa kwa...
  13. Inside10

    Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
  14. A

    DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji Wilaya ya Muleba wanatumia 'Road Barrier' kula rushwa

    Naomba nifichue huu uovu wa baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji waliopo Wilaya ya Muleba, wameweka “Road Barrier” maeneo ya Kasindaga wamekuwa na tabia ya kula rushwa hao na kunyanyasa watu wanaopita eneo hilo, ukipita tu bila kitambulisho lazima uache pesa pale la sivyo kazi unayo. Hili lichukuliwe...
  15. R

    Uhamiaji wafafanua kampeni ya 'mjue jirani yako' kujengea wananchi uzalendo kutoa taarifa za uhalifu na wahamiaji haramu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Paul John Mselle ametoa ufafanuzi kuhusu kampeni mpya ya “Mjue Jirani Yako”, akisema inalenga kuongeza usalama wa kijamii na taifa kwa ujumla. Akizungumza na Morning Jam ya Capital Radio, Mselle amesema kampeni hiyo ni...
  16. Nitaenda Misaa yaTatu

    Askari uhamiaji mwenye asili ya Rwanda kukagua uraia wa Watanganyika ni maajabu.

    Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale. Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2 Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau...
  17. PAYE

    GE2025 Idara ya Uhamiaji: Taarifa za kuwanyang’anya Raia walipo nje ya nchi wanaporejea Pasipoti na fedha ni uzushi

    Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
  18. W

    Heche: Suala la Uhamiaji kusema sikufuata utaratibu kwenye suala la kwenda kumzika Odinda ni upotoshaji

    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga. - Mamlaka za Tanzania zilitoa taarifa zikisema John Heche alivuka mpaka kinyume cha sheria.
  19. Its Tesha

    Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  20. BigTall

    Uhamiaji wadai Heche amevuka mpaka wa Sirari kinyume na sheria

    KUHUSU MHE. JOHN WEGESA HECHE KUONDOKA NCHINI BILA KUFUATA TARATIBU Idara ya Uhamiaji inapenda kuujulisha Umma kuwa leo tarehe 18 Oktoba, 2025 katika Kituo cha Uhamiaji cha Mpaka wa Sirari mkoani Mara, Mhe. John Wegesa Heche ameondoka nchini kwa kuvuka mpaka na kuingia nchi jirani bila kufuata...
Back
Top Bottom