ugonjwa

  1. JamiiForums Tanzania Wadau Maumivu ya korodani yasiomaali ni ugonjwa gani?

    Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
  2. JamiiForums Tanzania Umafia umeanza kukomaa nchini; je, kuna watu bado wanaamini JPM alikufa kwa ule ugonjwa?

    Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari. Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

    Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu . Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe . Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri . Siku ya kwanza wakati nashiriki nae nimeshiriki nae kwa kupeana denda na kuchezeshea mzee sehemu yenyewe ,kuingia ikafanye kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

    Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili Predict all cycles of abnormal protein mutation Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be easily target by novel therapeutics compound Hata sisi waafrika tuna-uhuru wa kufikiria njia ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hu ugonjwa unanitesa...miaka

    Waku habari,za mida hi,kuna hu ugonjwa umenitokea kwenye kanyagio la mguu na miaka zaidi ya kumi,nimeenda hospt ila siku pata dawa ya kunifaa,sijui ni ugonjwa gani?niliwai ku geogle wakaniambia unaitwa deadskin...unanipa.maumivu sana nikikanyaga tyriz au sehemu ya baridi...
  6. JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Ilala alivyowasambaratisha kwa ugonjwa hatari wanamuziki wabendi kubwa nchini

    Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina. Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu? Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu shombeshombe, mshangazi white mkazi wa Ilala Sharifu Shamba ni kama alitumwa, aliwagawia dozi mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

    Ndugu zangu hili jambo linanitatiza sijui niseme ni ugonjwa au ni nini. Iko hivi, nina kaka yangu anaendesha bodaboda hizi za mikataba, sasa mara ya kwanza mwaka jana alikabidhiwa pikipiki mpya na boss wake akafanya kazi kama wiki hivi mara ghafla akaanza kuwehuka, yaani ni kama ukichaa hivi...
  8. JamiiForums Tanzania Wapwa Msaada huu ni Ugonjwa unasababishwa na nini?

    Wapwa Msaada huu ni Ugonjwa unasababishwa na nini?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu ambalo sehemu kubwa ya jamaa haifahamu kuhusu ugonjwa wa MPOX

    Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono. Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe ugonjwa wa Corona ndio ilikuwa hukumu ya Kiama. Hakuna tena kiama

    Ugonjwa wa Corona ndio kiama chenyewe,wewe uliye hai ujue uko peponi sasa
  11. JamiiForums Tanzania Ugonjwa ninao changamoto ni matumizi ya dawa

    Habari za muda huu wakuu, Naandika hapa nikiwa kijana mdogo(me), pre 20 yrs, nikiwa na heshima kubwa kwa wanajukwaa wote hasa wale walio na uelewa wa masuala ya afya. Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikiona damu nyekundu ang’avu wakati wa haja kubwa, hasa pale ninapojikamua chooni. Sina maumivu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi zaidi ya 900 wapatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo Peramiho

    Wananchi zaidi ya 900 wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo katika Hospitali ya MT. Joseph Peramiho, huduma ambazo kutolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya saratani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa muda wa siku nne (4). Waziri wa Afya Mhe...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nini tiba ya ugonjwa wa Kifaranga kujaa hewa mwilini?

    KIfaranga kapata ugonjwa wa mwili kujaa hewa na kuwa kama puto, nini tiba ya haraka ?
  14. JamiiForums Tanzania Siku ya Usonji Duniani, Usonji sio Ugonjwa

    Siku ya Usonji Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Aprili kwa lengo la kuongeza uelewa na kuhamasisha jamii kuhusu haki za watu wenye usonji Kaulimbiu ya mwaka huu, 2025, ni “Kukuza Neuroanuwai na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs)”. Kaulimbiu hii inasisitiza umuhimu...
  15. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kipelekea kufa

    Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea. Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
  16. JamiiForums Tanzania 'Back spinal pain', yawezekana ikawa ugonjwa unaosumbua watu wengi kwa sasa

    HI. Siku za hivi karibuni kuna ongezeko kubwa la contents za tiba ya maumivu ya viungo, matangazo ni mengi kweli kweli. Hii inaashria kwamba watu wengi wansumbuka na hii shida, nini chanzo, tiba na suluhisho lake.
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Grace Magembe: Watu 281 waliokuwa Karantini kwa ugonjwa wa Marburg Kagera watoka Salama

    Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amesema watu 281 wakiwemo watumishi wa afya 64 waliokuwa wametangamana na wagonjwa wa Marburg mkoani Kagera, wametoka karantini wakiwa salama. Amesema katika mipaka ikiwemo viwanja vya ndege na bandari, wasafiri 18 kati ya 417,148 waliochunguzwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa "kuamka huna hela mfukoni" na dalili zake.

    👁️JINA LA UGONJWA KUAMKA HUNA HELA MFUKONI. 👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI" (a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula. (b) Kupoteza hamu na shauku ya kuwasiliana na watu au marafiki unaofanana nao kiuchumi. Unahisi kuwasiliana nao ni kuharibu salio...
  19. JamiiForums Tanzania Ugonjwa usiojulikana waibuka Kongo na kuua watu zaidi ya 50

    Zaidi ya Watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Madaktari waliopo katika eneo hilo na Shirika la Afya Duniani (WHO). Takriban visa 419 vimeripotiwa, vikiwemo vifo 53 tangu mlipuko wa ugonjwa huo...
  20. JamiiForums Tanzania Umezuka Ugonjwa wa Kusahau Kulipa Madeni!

    Mtu anakuja kwako analia, kilio cha msibani. Anapiga magoti umkopeshe pesa. Unamkopesha kwa moyo safi kabisa. Anaondoka kwa shangwe utafikiri bwana arusi kaoa. Muda mliopatana wa kulipa deni ukifika, ghafla anapatwa na "ugonjwa wa kusahau kulipa madeni." Ugonjwa usiotibiwa hospitali, ambao dawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…