Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago
Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time nikamwelewa Amina lakini sikuwa nimemzoea na alikuwa mkimya sana kwa hiyo ilileta ugumu kupata...
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna...
Hii sio hadithi bali ni simulizi yangu iliyobeba uhalisia wa yale niliyopitia nikiwa JF.. Mimi ni introvert.. Hivyo si mwepesi sana kusimulia maisha binafsi kama walivyo extrovert
Nilijifunza mambo ya kiroho pamoja na uchawi darasani na nje ya darasa na kutunukiwa madaraja niliyostahili kwa...
Binadamu huwa tunatembeleana sana yaani je ni kitu gani ulikutana nacho ugenini ukabaki mdomo wazi au kucheka tu
Mimi nilikutana na maneno katika kutambulishwa kwa mtoto wake mdogo alikuwa kama ana miaka 6 hivi akalopoka tu mama huyu ndio uncle jana ulisema upendi kuongea nae kwenye simu mama...
Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.
Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi.
Hili jambo...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini
Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani
SAYUNI BOY
Nilikuwa kijana sasa ni mzee. Miaka hiyo nafanya kazi kwa kijana mwenzangu ambaye Mungu alimbariki na kumuinua sana kiuchumi kwa nyakati hizo. Ni kati ya Waafrika wa mwanzo kumiliki SCANIA 111 na 81.
Basi mimi akanikabidhi SCANIA 81 kwa roho safi (mtama kwa watoto). Nyakati hizo kazi ya lori...
1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.
2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.
3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba.
4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
Ukikutana na hiyo changamoto utapaswa kuchukua hatua gani?
1. Utaitaarifu kwanza ofisi ya ubalozi wako?
2. Utaripoti kituo cha Polisi cha nchi uliyopo?
Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu...
Ubahili unanifanya nitelekezwe na wanawake
Mimi huwa ni mzito sana kwenye kuhonga; ila kama ni kula, kunywa, kucheza mziki, na kutalii baadhi ya mazingira tutakuwa wote; muhimu katika shilingi ninayotoa na mimi ninufaike nayo.
Kutokana na mazingira hayo, wengi niliokuwa nao kwenye mahusiano...
MWANANGU ! UKIFIKA UGENINI ZINGATIA MAMBO HAYA ILI UFANIKIWE.
Kila mtu kwa sehemu ni lazima kawahi kuwa mgeni au atakuwa mgeni tu siku moja,kuwa mgeni haiepukiki kila mtu ni lazima atapitia, yawezekana ni ajira mpya au kutoka nyumbani kwenda mkoani kutafuta maisha.
Wengi tukifika ugenini huwa...
Nadhani niliacha historia mbaya na sikurudi tena kwenye ile familia, nimemaliza form six naenda chuo, ikabidi mzee afanye mawasiliano na rafiki yake nipate pakufikia ili kesho yake nikaanze mchakato wa kutafuta hosteli.
Kufika jijini, nikapokewa na Mama mwenye nyumba, Baba alikua bado hajafika...
Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti.
Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke.
Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha...
UGENINI JITAHIDI KATI YA RAFIKI ZAKO BASI AWEPO MBEA MMOJA NA MROPOKAJI MMOJA WATAKUSAIDIA KIJASUSI.
Yawezekana ukaona ni kinyume kwa sababu wengi husema hao marafiki hawafai ila kijasusi wanafaa sana muhimu tu uishi nao kwa akili kubwa sana yaani utumie madhaifu yao kukunufaisha wewe .
Iwe...
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.
Au kanuni zimeshabadilika
Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ;
◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali.
◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Habari ndio hio kwani hawa jamaa mechi zao nyingi huwa wanashinda kwa ushindi mwembamba. Hivyo, Yanga ikipata walau goli moja, watahitaji kushinda kwa bao tatu ili wavuke huku Yanga wakiwa na beki makini sana,
Timu pekee walioipiga magoli mengi ni AL Alhyl(bao 5 hapa Bondeni) lakini mechi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.