uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Tetesi: Mo Dewji anawekeza kwa majirani Uganda pia

    🚨 MOHAMED DEWJI ATUA UGANDA. Mfadhili Wa Simba sc na Tajiri namba 17 barani Afrika Mohammed Dewji Yuko mbioni kununua Hisa asilimia 51% katika Klabu ya Express FC ya nchini Uganda🇺🇬 Baada ya kuwekeza katika Klabu za Tanzania sasa ni rasmi Mohamed amedhamiria kuwekeza Uganda. Express FC msimu...
  2. Je, unajua kwamba Afrika ilifanya na kukamilisha upasuaji wa C-Section muda mrefu kabla ya Wazungu?

    Wabanyole, jamii ya kipekee kutoka ufalme wa kale wa Uganda, hawakufanya tu upasuaji wa C-Section bali walikamilisha sanaa hiyo muda mrefu kabla ya Wazungu. Wakati Wazungu walikuwa na lengo kuu la kumwokoa mtoto, Waganda walifanikiwa kuendesha upasuaji ili kuwaokoa mama na mtoto wote wawili...
  3. Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  4. T

    Kenya na Uganda wakopa Exim kujenga SGR mpaka Malaba mpakani

    Nimepitia taarifa inayosema Kenya na Uganda zimeingia makubaliano ya kujenga SGR kutoka Kenya hadi Uganda hatimaye Rwanda na DRC na Sudan Kusini. Reli hii ikikamilika italeta ushindani mkubwa na SGR ya Tanzania ambayo nayo ina malengo hayohayo ya kuhudumia Uganda,Rwanda,Burundi na DRC. je hali...
  5. Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

    Habari nahitaji mtu aliepo Uganda Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
  6. M

    Serikali iwaze kurusha setilaiti badala ya tahasusi za dini

    Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao. Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana. Binafsi watoto wangu...
  7. Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
  8. Looking for a someone from Uganda

    Hello folks just looking for a someone from uganda who is Living or Working here in Dar es salam Dm me for more details
  9. Maneno ya Hekima ya Maendeleo kutoka kwa Rais Museven wa Uganda yafaa kutekelezwa Tanzania

    Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini. Bigup sana Museven.
  10. Uganda Yazidi Kujifunza Jiolojia Yake Katika Mchakato wa Kuchimba Mafuta

    Uganda, nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la Albertine Rift Basin, inaendelea kujifunza na kuboresha uelewa wake wa jiolojia ya eneo hilo wakati wa mchakato wa uchimbaji wa mafuta. Kupitia ushirikiano na kampuni za kimataifa za mafuta na wataalamu wa ndani, serikali ya Uganda...
  11. Pongezi sana kwa Jeshi la Uganda na mengineyo duniani yaige

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  12. Aliyelikimbia Jeshi la Uganda (UPDF) atupwa gerezani miaka 35, mwingine afukuzwa kazi kwa kujipa likizo ya miaka mitano

    Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia). Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda (UPDF). Mmoja wa wenzake ameukuzwa kutoka kwenye Jeshi baada ya kupatikana na hatia ya kutokuwepo...
  13. Watanzania tulioko Kampala Uganda tunakutana wapi Jumamosi tarehe 20 April, 2024 kuitizama Derby ambayo nimehakikishiwa kuna Watu hawatoamini kabisa?

    Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda tafadhali nipeni tu ramani la Chimbo ambalo wengi wenu mtakuwepo Siku hiyo ili nami GENTAMYCINE...
  14. Rais Cyril Ramaphosa kuzuru Uganda katika ziara ya kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Rais wa Afrika Kusini anaanza ziara ya siku mbili nchini Uganda leo, miezi baada ya nchi yake kutuma wanajeshi chini ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupambana na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda ilisema kuwa ziara ya...
  15. SIRI Imefichuka Gentamycin Kayatimba kwa Mpenzi wake Baada ya Kwenda Uganda na Kumbe ni Konda kwenye Magali ya Modern Coast

    Haya ni mawasiliano ya GENTAMYCINE na Mpenzi wake natasha B Mwenzetu kayatimba na Rasmi sasa kaachika na Tunajua kumbe alienda Uganda kwa hisani kwenda kufanya kazi kwenye Kampuni ya Magali ya Modern Coast..
  16. Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

    Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa hasa Maeneo ya Nakasero ilipo Ikulu ya Uganda Mgeni wenu GENTAMYCINE nImewasili rasmi jana namba...
  17. SI KWELI Rais Museveni amteua mwanaye Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda

    Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda. Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
  18. Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika yakwama Airport, wakati wa Kuelekea Belgrade Serbia, Uganda Yashinda Dhahabu

    Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa. Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
  19. Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
  20. Niende Uganda ama Kenya

    Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni. Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…