Salaam,
Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA.
1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
Anonymous (e563)
Thread
foundation
hali
jambo
kazi
kimya
kuhusu
mafunzo
mafunzo ya ufundi
mamlaka
mkapa
naona
uendeshaji
ufundi
utendaji
utendaji kazi
veta
wakuu
Tanzania inazalisha maelfu ya wahitimu wenye vipaji katika fani za uhandisi, ujenzi, na usanifu majenzi kila mwaka. Hata hivyo, kuna changamoto mbili kubwa: uhaba wa ajira kwa vijana hawa na utegemezi mkubwa wa makampuni ya nje katika kutekeleza miradi ya miundombinu.
Pendekezo hili...
SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu dhidi yake na viongozi wengine wa taasisi hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza hatua hiyo jijini Dar...
- Mungu aliona aweke mashino mawili ambayo yote yameunganishwa kwenye pipe moja ya juu hivyo shimo moja likiziba jingine litatumika kama dharula.
Mungu akaona kuwa pua inapaswa kuwa na uwezo wa kugundua harufu mbalimbali za kipekee, hivyo akaongeza seli maalum za harufu ambazo sio tu zinatambua...
Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko.
Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri na kuchangia maendeleo...
Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn.
Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana.
Katika kipindi cha...
Karibu wa huduma ya ufundi wa vifaa vyote vya electronics na umeme, kwa ufundi wenye uhakika bila ubabaishaji na uaminifu wa hali ya juu.
Vifaa hivyo ni kama;- Tv aina zote, Projectors, Amplifiers, mixers, Vinanda, Machine za kufulia, machine kubwa na ndogo za kuprint, machine za mazoezi...
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said ametoa rai kwa watumishi wa umma kubadilisha mtazamo kuhusu maisha, akisisitiza kuwa kazi, elimu na ndoa ni Ibada na hivyo vinahitaji kutekelezwa kwa moyo, weledi na nidhamu.
Mhandisi Zena ametoa kauli hiyo...
"Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young Africans), Mchezaji mwenye Ufundi ni Pacome Zouzoua (Young Africans), Mchezaji mwenye chenga zaidi ni...
Habari wanajamii wa JamiiForums,
Napenda kuwajulisha kuwa nimeandika kitabu kipya kwa lugha ya Kiswahili kinachoitwa “Mbinu Bora za Ufundi wa AC”kilichoandikwa na mimi Mohamedy Joseph Kamau
Kitabu hiki:
Kinafafanua kwa ufasaha mbinu za kisasa za matengenezo, usakinishaji na uendeshaji wa...
Habari zenu humu,
Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS.
Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda wa kozi itakua vyema zaidi.
ASANTENI.
Kwa Tanzania Bara kumekuwa na ongezeko la Idadi ya shule za msingi kutoka shule 3,270 mwaka 1961 hadi shule 20,384 mwaka 2024.Shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi kufikia shule 6,263 mwaka 2021.
Kwa mfano kila shule ikatengèwa billion 5 ili iwe katika kiwango kinachotakiwa...
Helllo JF....
Nilikuwa na wazo...
Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi...
Ziwe free ku tackle shida ya ajira...
Nimeona course kama Graphic designs, Photography na Film making zinaweza kufundishwa online..
Im sure kuna course nyingi tu za ufundi zainazoweza...
Habari za leo wadau wa JamiiForums!
Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...