ufukara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpwayungu Village

    Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

    Hawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na plutnum credit. Nipo apa duka moja la mangi ananiambia walimu wote wa shule jirani huwa wanaenda kukopa...
  2. fufumajeusi

    UFUKARA UKIWA Early 30s SIO Poa, I am not sure if I was destined to live like this!

    My purpose is im 30s now upepo bado mgumu wadau japo kwa mtu akiniona kwa njee hawezi amini smt mpaka nawaza mybe ndoto zangu haziko relevant katika dunia hii i need new set up and focus. kuna vitu vina ni vunja moyo sana ambavyo ni 1. Hali ya kiuchumi ya wazazi na familia huko kijijini ni...
  3. Loading failed

    Kwanini wakatoliki wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara na siyo ya utajiri kama vile Mungu alivyosema atatubariki?

    Ndugu.. Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha. Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa...
  4. majebsmafuru

    Ufanyapo usafi nyumbani, usipookota hata Tsh. 100 ujuwe ufukara unapiga hodi!

    Watakiwa kuokota shs 100, 200 hata 500. Sasa waburuza fagio kwa mbwembwe na siajabu kudeki kabisa halafu huokoti chochote basi ujuwe kazi unayo! Mnasemaje wadau
  5. Kurunzi

    Mkoa wa Kagera na Ufukara

    Mkoa wa kwanza kwa ufukara ni Simiyu. Mkoa unaofuata ni Kagera (Mkoa uliotoa Maprofesa wengi nchini). Yani Simiyu tu ndio imeizidi Kagera kwa viwango vya umaskini. Ina maana hakuna uhusiano wowote kati ya SHULE na MAOKOTO? Inakuaje Wahaya wamesoma sana halafu wanaburuza mkia kwenye kusaka...
  6. bongo dili

    Sababu ya umaskini na ufukara ni nini?

    Namna ambavyo kanisa linapaswa kuwajibu waumini ambao ni maskini na wanaoteseka kwa magumu wanayopitia. Ninachotaka kushughulikia katika makala hii ni mafundisho ya uongo yanayoenezwa na wale wanaofikiri kuwa eti wanazijua SABABU ZA UMASIKINI uliopo kati ya waumini – kati ya ndugu zao katika...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Hata zikigundulika dhahabu kila mtaa na kila nyumba bado ufukara hautawaondoka Watanzania!

    Habari, Huu ndio ukweli. Ni wakati sasa Watanzania na viongozi tuache kutwakutwa kujivunia rasilimali za asili badala yake tuwaze maendeleo. Yaani rasilimali zifikiriwe au kutajwa pale tu tunapotaka kufanya jambo. Tusianze kufikiri na kuzitaja rasilimali kabla ya kufikiri maendeleo (matumizi...
  8. Samia atosha tukutane2030

    Umaskini na ufukara ni hatari kuliko ushoga na usagaji. Tuanze na vita ya umaskini na ufukara kisha tukatae ushoga

    Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji. Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa...
  9. U

    Nyerere alituuza na kuzalisha umasikini

    Habari ndugu wanajamii. Aisee kwanza Mimi Sio mtanzania ni mtanganyika. Kama Zanzibar ipo iweje Tanganyika? Je, mzanzibar ni mtanzania?? Hapa ndo utaona mwalimu Nyerere pamoja na sifa mnazompa ni batili. Huyu BABA alijenga mfumo wa nchiiii kutegemea mtu mmoja Yaani watu milioni 60 mnategemea...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Ili ufukara uwaondoke Watanzania Serikali ifanye jambo hili

    Natoa ushauri huu kwa serikali, sitarudia tena maana Mimi nina kazi yangu na nina biashara zangu. Umaskini na ufukara bado ungalipo hapa nchini. Serikali sasa haina budi kujenga chuo Cha fundi kila kata au Kijiji na kupeleka walimu na vitendea kazi. Vijana wasome bure, yaani kila kijana aliye...
  11. Miss Natafuta

    Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

    Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila...
  12. BAKIIF Islamic

    Waache watoto wako katika hali nzuri (kifedha) kuliko kuwaacha katika ufukara

    Watoto wana haki ya kulishwa, kuvikwa, na kulindwa hadi wafikie utu uzima. Ni lazima watoto wawe na heshima, ili kufurahia upendo na shauku kutoka kwa wazazi wao. Watoto wana haki ya kutendewa kwa usawa, dhidi ya ndugu zao katika masuala ya zawadi za kifedha. Imam Ahmad bin Hanbal alisema...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Wakala wa benki alinifanya niishi katika lindi la ufukara, sasa zamu yake

    Habari! Nitasimulia kwa ufupi kisa hiki kisichosisimua ila kinafundisha. Mwaka 2016 nilitembelewa na huyu wakala wa benki kazini. Akanishawishi nikakopa pesa kwa mara ya kwanza. Niliikopa pesa kwaajili ya kujiendeleza kielimu na nyingine nifungue biashara. Bahati mbaya sikujaza vizuri...
  14. Chris wood

    Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

    Kwanza niseme tu mimi ni kati ya watu, waliokuwa wakiamini betting kwa asilimia 100, nilikuwa na imani betting ndio kitu itanitoa kimaisha, kuhusu betting ulikuwa huniambii kitu, kuna ile kauli watu huwa wanasema beti kama starehe, Lakini mimi nimekuwa nikiifanya kama kazi ya kujiingizia kipato...
Back
Top Bottom