Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,285
- 9,922
Mkoa wa kwanza kwa ufukara ni Simiyu. Mkoa unaofuata ni Kagera (Mkoa uliotoa Maprofesa wengi nchini). Yani Simiyu tu ndio imeizidi Kagera kwa viwango vya umaskini. Ina maana hakuna uhusiano wowote kati ya SHULE na MAOKOTO?
Inakuaje Wahaya wamesoma sana halafu wanaburuza mkia kwenye kusaka noti? Ina maana kwenye zile Debate za sekondari Wahaya walichagua ule upande wa EDUCATION is bettet than MONEY? Wakora waitu.
Inakuaje Wahaya wamesoma sana halafu wanaburuza mkia kwenye kusaka noti? Ina maana kwenye zile Debate za sekondari Wahaya walichagua ule upande wa EDUCATION is bettet than MONEY? Wakora waitu.