ufufuo na uzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Askofu Gwajima kuongoza Ibada ya Jumapili Juni 15, itafanyika Jimbo Kuu Dar Saa 4 Asubuhi

    Wakuu! Kesho Ibada ipo na itaongoza wa na Askofu Gwajima baada ya kutangaza ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwa atakuwepo kwenye Ibada ya Jimbo kuu la Dar es Salaam Jumapili Juni 15 na itaanza saa 4 Asubuhi Pia, Soma Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na...
  2. Gabeji

    Kanisa la ufufuo na uzima mfungilieni kesi ya uvamizi Mkuu polisi kanda maalumu Muliro kwa kuvamia kanisa na kupiga waumini

    Ili iwe fundisho kwa polisi wa Tanzania, huyu Murilo afunguliwe kesi ya utekaji na uvamizi, kama mahama kuu, haitambui ile barua ya kulifunga kanisani la ufufuo na uzima chinni ya mzalendo namba mbili , askofu Gwajima, mwambieni mwanasheria wenu kibatala, amfungulie kesi huyu mzee, huwa...
  3. Carlos The Jackal

    Mahakama yasema Kanisa la Ufufuo na Uzima Tanzania ( The Glory of Christ Tanzania Church) Halijafungwa Wala Kufutwa, hivo Rufaa imetupiliwa mbali

    Kuna Pimbi wa Lumumba Jana kaja na Uzi ukisema "Gwajima kaangukia Pua Rufaa yake". Ruling hii maana yake, Mahakama inasema ,Kanisa la The Glory of Christ Tanzania Church hamna Mahali limefungiwa, Wala Kufutwa, Kwa sababu Barua ilosambazwa mitandaoni SIO Barua ilioelekezwa kwenye Kanisa la The...
  4. The Palm Beach

    Askofu Mwanamapinduzi wa kanisa la Ufufuo na uzima afafanua mwanzo mwisho kanisa kufungiwa. Kesi imesikilizwa, Hukumu ni kesho J'4. DPP atajwa

    https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2 √ Huyu ni mmoja wa maaskofu walio chini ya Askofu mkuu wa kanisa la Jumba la Ufufuo na Uzima chini ya usajili wa Glory Christ Tanzania Church (GCTC) Mch Josephat Mathias Gwajima Anasema: 1. Kanisa halikuwahi kupewa notice au onyo au hata nafasi...
  5. tpaul

    Baada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kufutwa, kituo kifuatacho ni KKKT? Ushahidi huu hapa

    Serikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa...
  6. The Palm Beach

    Kanisa la Ufufuo na Uzima watangaza Kesho hakuna ibada katika makanisa yao yote ya Tanzania

    1. Hakutakuwepo na ibada ktk makanisa yote ya GCTC ya Tanzania kesho J'pili tarehe 8/6/2025 2. Wakristo na waumini wote wa makanisa hayo, wafanyie ibada zao nyumbani mpaka itakapotolewa taarifa nyingine 3. Sakramenti zote zilizokuwa zifanyike kesho mfano ufungaji wa ndoa, ubatizo, kubariki...
  7. Keynez

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kusanyikeni mdai haki yenu ya kuabudu

    Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi. Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na...
  8. Miss Zomboko

    Polisi Mbeya wafunga Makanisa 6 ya Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya. Taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini Kuzaga amesema wameyafungia makanisa...
  9. Uponyaji na uzima

    Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  10. Waufukweni

    CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  11. S

    Yu wapi askofu Gwajima, mtetezi wa watekwaji Tanzania na baba wa kiroho wa waumini wa Kanisa la ufufuo na uzima?

    Tangu ailipotangaza Jana nmzaiya kwamba magari ya watekaji yanezingira Kanisa lake, Askofu Gwajima hajajaoekana tena. Swali muhimu ni je, yuko wapi? Yuko hai? Asipoonekana mpk kufikia asubuhi, waumini wake wote tutalala kwenye SGR ili kumpigania Askofu wetu.
  12. Joshua Mbezi

    Maoni na Mtazamo wa Dkt. Benson Bagonza Kuhusu Kufungiwa kwa Kanisa Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima

    KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi.. Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa. Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe? Yaani mdomo utoe...
  13. D

    Kesho tarehe 01.06.2025 ni siku ya jumapili, je, tujiandae kwenda kanisa la ufufuo na uzima kuona dude likiamshwa au hakuna kitu?

    Naomba majibu
  14. Waufukweni

    Morogoro: Mama agoma mwanaye asizikwe, ataka mwili upelekwe kanisani aombewe ili afufuke

    Wakuu Hali ya sintofahamu imeibuka eneo la Forest Hill, mjini Morogoro baada ya kifo cha binti Irene Joseph Akaro (30), ambapo mama wa marehemu ametaka mwili kupelekwa Kanisa la Kipentekoste la Ufufuo na Uzima ili aombewe ili afufuke, huku ndugu upande wa baba mzazi ukitaka taratibu za maziko...
  15. JanguKamaJangu

    Lissu aiomba Mahakama itupilie mbali Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu huyo kwa madai kuwa halina mashiko. Kwenye shauri hilo la jinai, Namba 19525, Mwaka 2024...
  16. masopakyindi

    Hivi Kanisa la Askofu Gwajima ni Kanisa kweli?

    Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu. Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka. Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa? Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano...
  17. N

    Kanisa la Ufufuo na Uzima lifutwe, kimekuwa ni kichaka cha kupika majungu

    Askofu anajificha kwenye kanisa akijidai anaongea na wanawe, lakini kupitia kanisa amekua akitoa shutuma nzito kwa serikali na watu. Kwa kumbukumbu zangu aliwai kumsema vibaya mkuu wa mkoa wa Arusha na kumuita mtoto wa dawa kisa kapiga marufuku makanisa kupiga kelele usiku. Kupitia kanisa...
  18. The Palm Tree

    Bishop Rev. Josephat Gwajima kusema neno tena kesho. Unakaribishwa katika ibada kanisa la Ufufuo na Uzima....!

  19. mwehu ndama

    Video: Kwa hili sijamuelewa Askofu Gwajima

    Katika video hapo chini ASKOFU mkuu makanisa ya ufufuo na uzima anaonekana akitoa sauti zisizoeleweka ambazo mim kama muumini wa dini ya kikristo SIJAMUELEWA alichojaribu kumaanisha. Naomba ufafanuzi.
Back
Top Bottom