ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  2. Mkurugenzi Catherine Mashala alitumbuliwa kwa kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 1.245,989,000?

    Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata dhamana kwenye hii kesi niliyoambatanisha. Kiasi halisi alichotuhumiwa kupiga ni...
  3. Tetesi: Ilikuaje Makontena 329 yakapotea bandari kavu ya Azam na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 12.6? Je, Nani alicheza huu mchezo?.

    UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015) To make a long story short, Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na kumuhoji Meneja wa TPA, (Abel Muhanga kwakipindi hiko), kuhusiana na tuhuma za ufisadi wa kupitisha...
  4. Rais Samia asijikite kutumbua Wakuu wa Mikoa na Wilaya pekee. Amulike ufisadi unaofanywa na Mawaziri wake

    Niaje waungwana, Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
  5. J

    Ufisadi wadaiwa kutamalaki Ngara

    Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Kanali Kahabi ametangaza kuwa hawezi kufanya kazi na DED wa wilaya hiyo. Akiongea katika ziara ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, DC huyo amesema DED na mhanfdsi wa ujenzi wa halmashauri wameshindwa kusimamia miradi na kupelekea ubadhirifu wa fedha...
  6. Wizara ya Afya yadaiwa kuhusika katika ufisadi wa bilioni 4.8

    Rais Samia alithibitisha kwamba ndani ya serikali kuna mtandao mkubwa ambao unaiba fedha za umma. Nafikiri sasa Rais asilalamike tu, achukue hatua za kushughulika na mafisadi hao serikalini. Mashirika ya kimataifa yanadaiwa kutoa fedha kwa ajili ya kufanya kampeni kuhamasisha wananchi...
  7. DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

    Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
  8. Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  9. Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

    Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata? Kuingilia msafara wa Biteko? Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika. Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
  10. Je, CHADEMA wanafaa kukabidhiwa nchi?

    Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko. Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao...
  11. A

    DOKEZO Kuna harufu ya ufisadi Kamati ya Olimpiki Tanzania

    Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki ya majira ya Joto (Summer Olympic Games) na majira ya Baridi (Winter Olympic Games). Tanzania ni...
  12. Ufisadi nyangumi; Tatizo la umeme, umaskini endelevu

    Nadhani maamuzi magumu yanapaswa kufanywa na viongozi wakuu ktk Serikali zetu uswahiba na ukaribu na watuhumiwa nyangumi wa ufisadi ktk nishati ni kikwazo kikubwa sana cha maamuzi yenye tija Kwa watendakazi wa chini.Refer DOWANS,Richmond,Symbion,IPTL na sasa Gas. Wafanyabiashara na matajiri...
  13. Bunge laazimia Serikali inunue ndege nyingine kwa ajili ya kuhudumia viongozi

    Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza...
  14. Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  15. Kutotaja jina la papa wa madawa ya kulevya ni kutengeneza mazingira ya ufisadi

    Jana Kamishina wa Mamlaka Kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya (DCEA) Bw. Lyimo alitangaza kumnasa mmoja wa Mapapa wakubwa duniani wa biashara ya madawa ya kulevya akiwa na wenzake watatu. Papa huyo aliyekamatwa na zaidi ya gram 600 za cocaine hajatajwa jina hivyo hakuna mwananchi ye yote...
  16. Guinea: Mwandishi wa Ufaransa akamatwa kwa kuchunguza Ufisadi wa Maafisa wa Serikali

    Maafisa wa Jeshi wamemkamata Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Thomas Dietrich Mjini Conakry, alipokuwa akichunguza madai ya ufisadi katika Kampuni ya Serikali ya Mafuta (SONAP) huku kukiwa na ripoti za kuzorota kwa hali ya Uhuru wa vyombo vya habari nchini humo Vyanzo vya Habari vinasema...
  17. Ufisadi Tanzania: Tatizo ni Serikali au wananchi?

    1. Ukifanya kazi kwenye baadhi ya taasisi nyeti za umma kama TRA, Bandari, Polisi hasa TRAFFIC, n.k., usipoonekana unapata mafanikio ya harakaharaka, utaitwa mjinga usiyejua "kuchukua " hela zilizo nje nje 2. Kwa sasa ukienda kwenye baadhi ya maduka yanayotoa risiti ya EFD, ukitaka risiti...
  18. Jaji Mkuu amjibu Rais Ruto “Madai ya ufisadi Mahakamani, yawasilishwe Tume ya Utumishi wa Mahakama na sio katika hafla za umma

    Baada ya Rais wa Kenya, William Ruto kushutumu Mahakama katika Kitengo cha Sheria cha Serikali akidai kuna ufisadi na majaribio ya makusudi ya kukwamisha miradi muhimu ya Serikali, Jaji Mkuu, Martha Koome amelaani matamshi hayo akifai yanagusa masuala yaliyopo Mahakamani na yanaweza kuwatisha...
  19. J

    Hayati Magufuli kama alikuwa anapambana na ufisadi, kwa nini asingefanya kama huyu shujaa?

    Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi, Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…