Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa
SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani
Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya,
Dar es salaam shule za day zina...
Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi hilo limetolewa mara baada ya matokeo ya mtihani wa MOCK wa kidato cha nne ngazi ya Mkoa kuonyesha...
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo;
Physics- D
Chemistry- E
Advanced Mathematics-E
General Studies- D ( japo haina maana).
Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
Wananchi wametakiwa kushirikiana na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kulinda miundombinu ya shule iliyojengwa ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi mkoani Singida
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego wakati akizungumzia...
DIVISION 1 - 61,120
DIVISION 2 - 49,385
DIVISION 3 - 14,870
DIVISION 4 NA 0 - 760
Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.
Naomba kueleweshwa,
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview.
Oral...
Utafiti wa kisayansi uliofanyika huko Sweden unaonyesha ufaulu wa wanawake warembo ulianguka pale ambapo mdarasa na masomo yaliyahamishwa mtandaoni wakati wa janga la COVID-19.
MATOKEO YA MJADALA WA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI, UELEWA NA UFAULU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI
Mgeni Rasmi: Ripoti & Zawadi za Ufaulu
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka alikabidhiwa Ripoti ya Matokeo ya Mjadala huo.
Vilevile, Mkuu huyo wa Wilaya alikabidhi zawadi za ufaulu...
Nimesikia kupitia Radio One leo Asubuhi mtakwimu Mkuu wa Serikali bibi Mjema akishtushwa na ufaulu wa somo la Hesabu kuwa chini sana kwenye 25%
Naomba nimjulishe tu kuwa, asipoteze pesa kwa ajili ya kufanya utafiti kwani jibu lipo waziwazi;
"MASHULENI HAKUNA WAALIMU WAKUTOSHA NA WENYE SIFA YA...
Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025
1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na jumla ya maswali 40 na mgawanyo wa alama ni 2.5 kwa kila swali kufanya junla ya 100 katika mtihani...
Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu
Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda
Natamani asome
Cyber security
Computer engineering science
IT and accountancy
Micro biology
Naomba ushauri wako
Benson
Civic C
history C...
Hi ni ST Francis ya Mbeya hata miaka hiyo walikuwa wanapiga hizi one, lakini one za 7 hazikuwa nyingi kiasi hiki
Sasa hivi imekuwa too much...
Yaani Wanafunzi wote 91 wamepata one ya point 7... 🙌😄🤔
Nchi hii ina miujiza mingi sana
Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7
Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza.
Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa...
Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari.
Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui...
https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025.
Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,,
Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu.
Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida.
Ajabu ni kuwa hakuna...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023.
Jumla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.