Mpaka leo naweza kuzungumza, kusikia na kuandika kiarabu kwa ufasaha, ilikua hivi:
Mimi sijawai kabisa kujifunza kiarabu wala sijakaa sehemu wanapoongea kiarabu, lakini kuna siku niliona maandishi fulani yameandikwa kwa lugha hiyo nikayaelewa ndo nilipogundia ninauwezo oia wa kusikia na...