dogman360
Member
- Oct 15, 2018
- 95
- 156
Wakuu,
Rais wa Urusi Vladimir Putin anadaiwa kuwa na mtoto wa siri ambaye anaishi Ufaransa na kufanya kazi kama DJ kwa kutumia jina bandia.
Elizaveta Krivonogikh, mwenye umri wa miaka 21, ambaye anahisiwa kuwa binti mdogo wa Putin, anaripotiwa kuishi na kufanya kazi jijini Paris kwa kutumia majina ya Luiza Rozova na Elizaveta Olegovna Rudnova, kulingana na uchunguzi uliofanywa na kituo cha televisheni cha Kiukreni, TSN.
Uchunguzi huo wa kushangaza ulifanyika kwa kutumia rekodi za safari za ndege zilizovuja, ambazo ziliambatanisha tarehe ya kuzaliwa na namba ya simu ya Krivonogikh na moja ya majina yake bandia.
Cheti chake cha kuzaliwa, ambacho hakionyeshi jina la baba, kinaonyesha jina lake la pili la kifamilia kama Vladimirovna—ambalo, kwa mujibu wa mila za majina ya Urusi, linamaanisha "binti wa Vladimir," kwa mujibu wa uchunguzi huo.
Hata hivyo, moja ya majina yake bandia limehusishwa na Oleg Rudnov, rafiki wa karibu wa Putin aliyefariki dunia mwaka 2015,
Ripoti za uchunguzi za awali zimedai kuwa Rudnov alifanya kazi binafsi kwa ajili ya Putin, ikiwemo kununua mali huko St. Petersburg kwa ajili ya watu wa karibu wa Rais huyo, akiwemo Svetlana Krivonogikh, mama wa Elizaveta, kama ilivyoripotiwa na gazeti la Times la London.
====================================================
Vladimir Putin’s alleged secret love child is living in France and working as a DJ under a pseudonym — with her fake identity linked to a dead ally of the Russian president, according to a report.
Elizaveta Krivonogikh, 21, who is believed to Putin’s youngest daughter, is reportedly living and working in Paris under the names Luiza Rozova and Elizaveta Olegovna Rudnova, according to an investigation by Ukrainian TV station TSN.
The stunning discovery was made using leaked airline manifests, which matched Krivonogikh’s date of birth and phone number with one of her aliases.
Her birth certificate, which doesn’t include the father’s name, indicates her patronymic name as Vladimirovna — which under Russian naming custom would mean “daughter of Vladimir,” according to the investigation.
However, one of her false names was linked to Oleg Rudnov, a close friend of Putin’s who died in 2015, to conceal her true identity.Investigative reports have previously alleged that Rudnov carried out personal tasks for Putin, including buying property in St. Petersburg for people close to the president, including Svetlana Krivonogikh, Elizaveta’s mother, the Times of London reported.
Source: New York Post