ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japan zimesema zitachukua hatua stahiki kuhakikisha Usalama wa Strait of Hormuz

    Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha usalama wa upitishaji katika Mlango wa Hormuz.
  2. R

    Raia wa Ufaransa ahukumiwa Azerbaijan miaka 10 jela kwa kosa la Ujasusi

    Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti. Mamlaka ya mji mkuu Baku...
  3. W

    Watoto chini ya miaka 15 wapigwa marufuku mtandaoni Ufaransa

    Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii. Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa sasa utapelekwa kwa Baraza la Seneti ili kupitishwa kuwa sheria. Rais Emmanuel Macron ameitaja kuwa...
  4. X

    Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

    Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani. The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
  5. Scared

    Dili la kuwa mkimbizi Ufaransa limetiki, muda huu nipo Paris

    Niliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali burkinafaso Gambia Senegal na nyingine nyingi Afrika Magharibi. Na Mimi nimefikia kwenye sehemu maalumu...
  6. Analogia Malenga

    PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  7. Stuxnet

    Ufaransa haikabiliwi na ugaidi bali inaishi ndani yake

    Miaka 10 iliyopita, dunia ilishuhudia kwa hofu jinsi magaidi wa jihadi walivyowaua waandishi wa habari wa Charlie Hebdo na kuwaua raia katika Bataclan. Ufaransa ilitangaza vita dhidi ya ugaidi. Leo, vita hivyo vinapotezwa, siyo vitani, bali katika madarasa, misikiti, majengo ya makazi, na...
  8. R

    Waziri Mkuu wa Ufaransa 'Sebastien Lecornu' ajiuzulu baada ya wiki chache madarakani

    Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, amejiuzulu leo Jumatatu Oktoba 6, 2025, zikiwa ni wiki chache tu tangu aingie madarakani hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo Ikulu ya Ufaransa ilitangaza kupitia taarifa rasmi kuwa Rais Emmanuel Macron amekubali kujiuzulu kwa...
  9. Mafyangula

    Mamlaka ya Paris yachunguza kifo cha Balozi wa Afrika Kusini Nchini Ufaransa

    Mamlaka ya Paris yanafanya uchunguzi juu ya kifo cha balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nkosinathi Emmanuel Mthethwa, ambaye alipatikana nje ya hoteli ya ghorofa nyingi siku ya Jumanne, Septemba 30, 2025. Diplomasia huyo mwenye umri wa miaka 58 alikuwa ameripotiwa kupotea na mke wake...
  10. Chizi Maarifa

    Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  11. W

    Wananchi kuwasha moto mitaani kwenye Maandamano Ufaransa ya kutaka Rais Macron ajiuzulu

    Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo. Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
  12. Richard

    Waziri Mkuu wa Ufaransa Kujiuzulu baada ya Bunge kupiga Kura ya kutokuwa na Imani naye

    Waziri Mkuu wa Ufaransa bwana Francois Bayrou baada ya kupigiwa kura 364 za hapana dhidi ya kura 194. Bunge la Ufaransa kwa azimio moja limefanikiwa kumuondoa Waziri Mkuu huyo ambaye alikuwa kiongozi wa Serikali ya mseto.
  13. Webabu

    Ufaransa ili kuitambua Palestina yazitaka nchi za kiarabu kuwalaani Hamas, Na kwa ujinga wao watafanya

    Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa waafrkia wenye rangi nyeusi. Sasa waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot amesema...
  14. Papillon 1906

    Marine Le Pen mgombea uraisi nchini Ufaransa akataa kuvaa hijabu nchini Lebanon

    Marine led pen alisitisha mkutano na mufti mkuu wa nchini Lebanon baada ya kukata kujistiri kichwa kwa kuvaa hijabu mwaka 2017. Kipindi icho marine alikuwa ni mgombea wa kiti cha uraisi nchini ufaransa alikwenda nchini Lebanon kufanya mkutano kwa lengo la kupata kura kutoka kwa raia wenye uraia...
  15. The Zanzibar Echo

    Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal

    Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo vya mwisho vya jeshi kwa serikali Senegal, hatua inayomfanya mkoloni huyo wa zamani sasa kutokuwa na kambi yoyote ya kudumu ya kijeshi kote magharibi na kati ya Afrika. SiasaSenegal Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo...
  16. MK254

    Ufaransa yashauri Iran irudi haraka kwenye mazungumzo ya nyuklia kabla haijasambaratishwa zaidi

    By AFPToday, 8:39 pm French President Emmanuel Macron (L) meets with Iran's President Masoud Pezeshkian (R) on the sidelines of the 79th Session of the United Nations General Assembly at the UN headquarters in New York City on September 24, 2024. (Ludovic Marin/AFP) Share PARIS, France —...
  17. 5

    Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  18. BLACK MOVEMENT

    Kisa cha Lema na Rais Bongo wa Gabon kuwahi kuzuia Oliver Ngoma asiende kutibiwa Ufaransa, na Bongo akaja kufa kabla ya Oliver Ngoma

    Raisi wa Pili wa Gabon raisi Bongo aliwahi zuia Mwanamziki wa Rumba Oliver Ngoma asiende kutibiwa Ufaransa kwa sababu za kisiasa make wakati huo Oliver Ngoma alikuwa maarufu sana kuliko Raisi Bongo na hivyo Raisi kuona kitendo cha Oliver Ngoma kwenda Ufaransa ni kwenda kujiandaa kuja kumuondoa...
  19. Mtuache

    Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

    🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
  20. Echolima1

    Kama Ufaransa Ina huruma na wapalestina basi iwape eneo la Riviera waishi huko - Mike Huckabee

    Balozi wa Marekani nchini Israel Mike Huckabee anasema "haifai" kwa Ufaransa, au mtu mwingine yeyote, kulazimisha "taifa la Palestina" kwa wakati huu ambapo Israel watu wake 1,200 waliuwawa na wengine kutekwa nyara na magaidi wa Hamas Aliongeza kuwa ikiwa Wafaransa wana huruma sana juu ya...
Back
Top Bottom