ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuomba ufafanuzi kuhusu hii habari iliyopostiwa East Africa tv

    #HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu. Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
  2. C

    Naomba ufafanuzi juu ya umiliki wa hii ardhi

    Habari wanajf! Jamaa alikuwa anamiliki kiwanja. 2022 Akaenda ofisi za Ardhi kwa lengo la kupima kiwanja chake, baada ya vipimo akaanza mchakato wa kuomba hadi, kabla hajafanya malipo kwa ajili ya hati akapata dharura na kusafiri ambapo alirudi mwaka huu, amekuta kile kiwanja chake tayari kuna...
  3. Elimika na Epuka madhara yasio ya lazima ya dawa hapa nitatoa ufafanuzi juu ya hili hasa matumizi yasiyo sahihi kwa Antibiotics

    Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo: 1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
  4. R 4 za Samia na ufafanuzi wake mfupi

    Kila siku tunaambwa R nne za rais. Kwanza, sijui kama anazijua vilivyo hata wale waliomzunguka. Pili, sioni zikifanyiwa kazi. Tatu, sioni zikitafsiriwa kupitia elimu ya urais kwa umma. Nne, ni kamba za kawaida za kisiasa aka usanii. Nazo, waweza kuziona hivi japo hawasemi. Reform kwao ni...
  5. Ufafanuzi wa wakili kwenye hili la chadema

    Credit kwa yerrico G55 😄
  6. TANESCO: Huduma za manunuzi ya umeme (Luku) zarejea kwa ukamilifu

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa changamoto iliyojitokeza leo asubuhi katika njia za manunuzi ya umeme (LUKU) imefanyiwa kazi. Kwa sasa wateja wetu wanaweza kufanya manunuzi ya umeme kupitia njia zote za mawakala, mitandao ya simu na njia za kibenki. Shirika...
  7. I

    Kwa mliofunga centrifugal pumps kwenye matenki yenu mnisaidie ufafanuzi wa hii kitu

    Kwenye hizo picha nimeambatanisha utaona baada ya kuconnect hiyo pump jamaa anamimina maji kwa juu kwenye bomba lililosimama. Naomba kujua umuhimu wa kufanya hivyo. Na pia kuna haja gani ya kuwa na hiyo pipe inayoishia halfway. Kwani pakiwa na connection ya inlet pipe na outlet pipe pekee hazitoshi?
  8. J

    "TAA yakanusha upotoshaji wa John Heche kuhusu uwaja wa ndege wa KIA kukabidhiwa kwa watu wa Oman

    Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetoa taarifa ya kuelezea kuhusu upotoshaji uliofanywa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kuhusu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kukabidhiwa kwa watu wa Oman. Kauli hiyo ya upotoshaji aliitoa hivi karibuni jijini Mbeya, TAA...
  9. R

    Kwako Dr Jabiri Bakari: TCRA yatoa ufafanuzi kuhusu gharama za vifurushi vya simu...... internet na muda wa maongezi

    Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO. LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime...
  10. Uongozi wa Manispaa Moshi watoa ufafanuzi wa madai ya jengo la soko kugharimu bilioni 2, wasema ni bilioni 1.5 awamu ya 2 inaendelea!

    Wakuu, Mdau humu alihoji bilioni mbili zimetumikaje kwenye soko ambalo limejaa bati tu na vijumba vi fremu vya mchongo? Jamaa wamekuja na ufafanuzi, kuwa bilioni 1.5 ndio zimetumika kwenye ujenzi wa soko hilo na milioni 500 ndio zinamalizia awamu ya 2. Hii inamaanisha watakuwa washatumia kama...
  11. M

    Hivi bodi ya ligi na TFF wanajielewa kweli? Mbona kama wanavyotoa ufafanuzi ndio wanakosea zaidi,au hawajisikilizi wanachosema!

    Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha. Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi? Simba walitangaza usiku wa kuamkia siku ya mechi kuwa wao rasmi hawatocheza mechi.na kulivyokucha asubuhi ya siku ya mechi bodi...
  12. Arusha: Ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kumuhusu kupotea kwa Gipson

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika Mitaandao na picha mjongeo ikimwonesha mwananchi mmoja aitwae Mercy Daniel Mkazi wa Arusha ambaye ameeleza kupotea kwa mmewake aitwae David Gipson Mkazi wa Arusha huku likiweka Wazi kuwa Mtu...
  13. Ufafanuzi wa Faida na Hasara ambazo ni nyingi za Kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi Tangu Mwaka 1977 hadi sasa

    Utangulizi Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
  14. Naombeni ufafanuzi wa faida na hasara za operesheni vijiji 1974

    Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa.. Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari. Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
  15. Msigwa Atoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Hata hivyo...
  16. T

    Ufafanuzi wa kisheria afadhali - Likizo ya mfanyakazi

    Sheria ya kazi inampa haki mfanyakazi kwenda likizo ya siku 28 kila baada ya miezi 12 ya kazi. Na endapo mfanyakazi ataachishwa kazi akiwa na likizo ambayo hakwenda kwa sababa maombi ya likizo yake hayakuwa approved na mwajiri anatakiwa alipwe mshahara wake wa mwezi kwa kila likizo ambayo...
  17. Msaada ufafanuzi page ya Tanzania government communicator

    Habari wakuu Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi. Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno " nime... " Nimefanya hivi n.k Lakini kuna vingine pia ni kama havihusiani na page au viko kibinafsi...
  18. PICHA: TBL Naomba Ufafanuzi Kidogo

    TBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa Na hata Lebo na vizibo ni tofauti Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
  19. Kwa wataalam wa hesabu na sayansi tupeni ufafanuzi wa jambo hili

  20. UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

    TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…