uenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yericko Nyerere

    Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

    Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa, Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA...
  2. Waufukweni

    John Mnyika ajibu kuhusu Freeman Mbowe kutangaza nia ya Uenyekiti CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
  3. Tlaatlaah

    Freeman Mbowe anaweza kushinda uenyekiti CHADEMA Taifa kwa zaidi ya 75%

    Wajumbe zaidi ya 1000 wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa, watakutana kupiga kura na kumchagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa chama hicho Taifa, tarehe muafaka itakayotangazwa na kamati kuu. Kwa hali ya kisiasa ilivyo ndani ya chadema iliyogawanyika, ushawishi wa Freeman Aikaeli Mbowe...
  4. Crocodiletooth

    Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

    Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea...
  5. chiembe

    Ansbert Gurumo ahoji kwa nini Lissu atumie kibwagizo cha CCM wakati akitangaza kugimbea uenyekiti "tuna imaniii.... na Lissu... Oyaa... "

    Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia. Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana mkutano wa Lissu ulijaa wana CCM waliovalishwa nguo za Chadema, hivyo wakajisahau na kujikuta...
  6. S

    PreGE2025 Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kesho atatangaza rasmi kugombea uenyekiti CHADEMA wakati wa ufunguzi wa ofisi ya CHADEMA Kinondoni

    Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe. Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu. Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
  7. Poppy Hatonn

    Lissu hajafanya kosa kuwania uenyekiti wa CHADEMA

    Nilikuwa naitzama hii story sasa hivi kwamba mwaka 1969 fighter jet ya North Korea ilifanya shambulizi na kuleta madhara kidogo kwa jeshi la Marekani, Pacific Fleet. Halafu rais wa Marekani akaamuru shambulizi la nuclear dhidi ya North Korea. Halafu Jeshi la Marekani likajitayarisha kufanya...
  8. econonist

    CHADEMA inahitaji uongozi mpya sio uenyekiti pekee.

    Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo sio Leo anasema hivi kesho anabadilika. CHADEMA inahitaji mwenyekiti atakaye kuwa nembo ya chama...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Lisu atarudisha itikadi/Imani ya watu kwa CHADEMA. CHADEMA mpeni uenyekiti.

    LISU ATARUDISHA ITIKADI/IMANI YA WATU KWA CHADEMA. CHADEMA MPENI UENYEKITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watanzania ni watu ambao huwaamini kama wanaweza kuishi bila kuonewa. Bila kutetemekea watawala. Bila kuwa machawa wa wenye navyo. Watanzania wengi huamini kuonewa, kudhulumiwa na...
  10. S

    Watu wake wa karibu: Mbowe ana taarifa zote kuhusu Lisu kugombea uenyekiti, Porojo za mitandaoni ni kuchangamsha genge tu

    Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote. "Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda...
  11. MSAGA SUMU

    Ukimya wa wanasiasa wakongwe Erythrocyte na Salary Slip wazua gumzo.

    Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani. Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao. Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
  12. S

    Mbowe hakupaswa kusubiri watu watangaze kugombea uenyekiti bali alitakiwa awe ametang'atabgaza kung'atuka kabla

    Mbowe amekaa kwenye hiyo nafasi kwa muda mrefu na amefanya mengi mazuri na bila shaka kuna mambo hakuyafanya vizuri kama binadamu. Hata hivyo; ni hulka ya wanadamu kutaka mabadiliko hata kama utakuwa kiongozi mzuri kiasi gani. Kuna wakati utafika watu watatakka ukae pembeni upishe wengine. Sio...
  13. T

    Ni kwanini magazeti yenye mrengo wa CCM ndiyo yameshadadia sana nia ya Lissu kugombea uenyekiti CHADEMA?

    Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!. Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
  14. Tlaatlaah

    PreGE2025 Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA taifa ni utashi wake binafsi au shinikizo kutoka nje ya nchi kwa wanao mbackup!

    Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya...
  15. Petro E. Mselewa

    Nani amesema kuwa Freeman Mbowe atagombea tena uenyekiti CHADEMA?

    Tangu jana, mara baada ya Wakili Tundu A.M. Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, kumekuwa na 'kuwapambanisha' Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Lissu kwenye uchaguzi wa CHADEMA utakaofanyika mwakani. Kuna siku nilimsikia Lissu akisema kuwa mtia-nia yeyote ndani ya CHADEMA...
  16. britanicca

    Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

    Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba? Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti? Britanicca
  17. Z

    Pongezi kwa Tundu kuamua kugombea uenyekiti wa chama cha cdm

    Pongeza kwa kuamua kutumia haki yake ya kikatiba, ila natoa angalizo kwa Lisu awe makini sana kuanzia sasa, maana chama cha chadema demokrasia yake ipo kwenye makaratasi sio kwenye uhalisia,. Tusisahau yaliyo mkuta Chacha wangwe (r.i.p), Zito kabwe n.k. Mwenye kiti hayuko tayari kung'atuka...
  18. chiembe

    Hata Msigwa alianza kwa vitisho kwamba Mbowe lazima aondoke uenyekiti Chadema, baadae akaenda kumuona Lissu Singida, kisha akaenda CCM

    Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine. Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama. Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
  19. Yoda

    PreGE2025 Mbowe ashauriwe kutogombea tena uenyekiti wa CHADEMA, siasa ni muonekano (perception) kwanza

    Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA zaidi sana endapo Mbowe atashinda tena, kwa mantiki hiyo ni vyema basi Mbowe akaamua au akashauriwa...
  20. Waufukweni

    Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, akizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi Desemba 12, 2024, Mlimani City, Dar es Salaam, ameeleza azma yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa. "Haikuwa rahisi kwangu kufikia uamuzi wa kugombea nafasi ya...
Back
Top Bottom