udom

The University of Dodoma (UDOM) is a public university in central Tanzania located in Dodoma, the country's capital. Building is taking place on a 6,000-hectare site in the Chimwaga area about 8 kilometres (5.0 mi) east of downtown Dodoma.The University of Dodoma was formally established in March 2007 following the signing of the Charter by the President of the United Republic of Tanzania. The first academic programmes commenced in September 2007. Currently UDOM is the fastest growing university within the country, its biggest more than any other university within the country, and it's praised with producing competent and qualified candidate capable of competing in job market.
In line with Tanzania's Development Vision 2025, the University of Dodoma, when fully operational, will be able to enroll 50,000 students. This is more than triple the size of the University of Dar es Salaam when UDOM becomes fully operational. Up to now it is 80% complete and is already two times bigger the size and capacity of The university of Dar es salaam.The university of Dodoma currently has seven colleges: College of Earth Science, College of Natural and Mathematical Sciences, College of Informatics and Virtual Education, College of Education, College of Humanities and Social Sciences, College of Health and Allied Science and College of Business studies and Law, in recently there was also establishment of newly academic institute within college of humanities and social science UDOM named institute of Development studies(IDS) charged with responsibility of strengthening professionals within the field of Development studies.
Also is found in the Capital city of Tanzania

View More On Wikipedia.org
  1. Instructor II-Print Media at Udom

    POST INSTRUCTOR II - PRINT MEDIA - 1 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist Senior Studio Instructors in the operations of relevant areas of field specialization in the course of...
  2. J

    Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  3. H

    The University of Dodoma (UDOM) yatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo 2024/2025

    UDOM WAMETOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO 2024/2025 ANNOUNCEMENT FOR STUDENTS ADMITTED INTO DIFFERENT STUDY PROGRAMMES AT THE UNIVERSITY OF DODOMA WITH SINGLE ADMISSION FOR THE 2024/2025 ACADEMIC YEAR – FIRST-ROUND ADMISSION The University of Dodoma (UDOM) is pleased...
  4. J

    KERO Changamoto ya usajili Chuo Kikuu Dodoma

    Naomba nifikishe changamoto ya wanafunzi wanaorudi masomoni baada ya kurejea chuoni. Tunapitia magumu sana wakati wa kufanya usajili, kwani viongozi wengi hawawajibiki kabisa kutokana na kukosa mfumo maalumu unaoweza kujiendesha, mwanafunzi anaweza kuandika barua leo lkn mpaka kuja kuipata...
  5. Je, na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vingine Tanzania walishangilia Usiku Kucha jana baada ya Kuingiziwa 'BOOM' lao kama walivyofanya wa UDOM?

    Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi. Kama hujasoma au...
  6. S

    Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  7. Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi. Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya...
  8. Mwandishi wa Habari aliyekamatwa akituhumiwa kuiandika vibaya UDOM aachiwa kwa dhamana

    Mwanahabari Kazimbaya Makwega ambaye alikamatwa na Askari Polisi akiwa Chuo cha Mallya, Kwimba (Mwanza), Februari 22, 2024 kisha kusafirishwa hadi Dodoma kwa tuhuma za kuandika maneno ya uchechezo dhidi ya Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM) kupitia tovuti yake ya ‘Mwanakwetu’, ameachiwa kwa dhamana...
  9. Madai ya UDOM kuchelewesha vitambulisho vya Wanafunzi, chuo chasema chanzo ni uzembe wa Wanafunzi

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna hali ya sintofahamu kubwa kwa Wanafunzi wa Chuuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akidai kuna ucheleweshwaji wa vitambulisho na hivyo wanashindwa kufanya mitihani, uongozi wa chuo umetoa ufafanuzi. Awali, memba huyo alidai Sheria ya...
  10. KERO Responded Chuo cha UDOM kuna utaratibu mbovu wa kutoa vitambulisho, wanatuumiza Wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho. Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo...
  11. A

    DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  12. A

    Bila Mzee Jakaya Kikwete leo tusingekuwa na UDOM

    Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu. #Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
  13. UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila. Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
  14. KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani...
  15. SI KWELI Vyuo vya UDSM, UDOM, IFM na SUA vinaongoza kwa maambukizi ya VVU nchini Tanzania

  16. F

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha. Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada...
  17. A

    DOKEZO Sheria/Utaratibu Mpya ulivyowakosesha Wanafunzi wa UDOM Haki yao…

    SHERIA MPYA ILIVYOWAKOSESHA WANAFUNZI WA UDOM HAKI YAO. Chuo kikuu dodoma,UDOM. 25/11/2022 uongozi wa chuo kikuu cha dodoma( UDOM) katika ndaki ya TIBA ulitoa sheria mpya kwamba mwanafunzi yeyote aliyepata carry over(Yani kufeli somo ambalo hujafikisha coursework) katika somo lolote hatakiwi...
  18. Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi

    Baada ya memba wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Wadudu aina ya Kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi wa Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM), ufafanuzi umetolewa kutoka kwenye mamlaka ya chuo hicho. Taarifa ya awali ya Kunguni hii hapa - Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye...
  19. UDOM waweka kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha la 4

    UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za kusomea ufamasia kuweza kujaribu nafasi .mungu awatangulie .Naomba kuwasilisha
  20. A

    DOKEZO Responded Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Sina haja ya kutaja jina langu wala kuandika maelezo mengi, lakini kwa ufupi mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kwakweli suala la kunguni UDOM limekuwa linasumbuwa na lina kera kwa muda mrefu. Ajabu ni kuwa hakuna hatua zinazochukuliwa kwa sasa wadudu hao wamekuwa wengi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…