The University of Dodoma (UDOM) is a public university in central Tanzania located in Dodoma, the country's capital. Building is taking place on a 6,000-hectare site in the Chimwaga area about 8 kilometres (5.0 mi) east of downtown Dodoma.The University of Dodoma was formally established in March 2007 following the signing of the Charter by the President of the United Republic of Tanzania. The first academic programmes commenced in September 2007. Currently UDOM is the fastest growing university within the country, its biggest more than any other university within the country, and it's praised with producing competent and qualified candidate capable of competing in job market.
In line with Tanzania's Development Vision 2025, the University of Dodoma, when fully operational, will be able to enroll 50,000 students. This is more than triple the size of the University of Dar es Salaam when UDOM becomes fully operational. Up to now it is 80% complete and is already two times bigger the size and capacity of The university of Dar es salaam.The university of Dodoma currently has seven colleges: College of Earth Science, College of Natural and Mathematical Sciences, College of Informatics and Virtual Education, College of Education, College of Humanities and Social Sciences, College of Health and Allied Science and College of Business studies and Law, in recently there was also establishment of newly academic institute within college of humanities and social science UDOM named institute of Development studies(IDS) charged with responsibility of strengthening professionals within the field of Development studies.
Also is found in the Capital city of Tanzania
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Maafisa Usalama wanaosimama katika geti la kuingia Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuwasumbua wanaopita hapo hasa Boidaboda na baadhi kuwataka watoe fedha taslim, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo hicho.
Mdau alihoji uhalali wa fedha...
Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.
Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni.
Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na Future inayoleleweka.
Serikali isiimize watu kusoma masomo ya Sayansi ikiwa wabobezi wa hayo...
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo .
Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa .
Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe.
Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa. Tunaiomba Serikali iingilie kati ili suala jamani.
Ikiwa litaendelea kufumbiwa macho ni uhakika kuna...
Anonymous
Thread
chuo
fedha
malipo
masomo
mtihani
udom
walimu
wanafunzi
Soma hapa: UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili
Nilimuona mwana-JF mmoja aliandika kuhusu hawa omba omba na issue ya watoto wadogo umri 8-12 wakifanyika kama labor power pale UDOM kwenye link niliyoweka hapo juu, sikumuamini...
Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom
Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne
Pia...
Muda mfupi baada ya Mwananchi aliyejitambulisha kuwa ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya hosteli katika chuo hicho, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Uongozi wa UDOM.
Awali Mdau huyo alisema baadhi ya Wanafunzi hasa...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel.
Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel)...
Naomba ujumbe au andiko langu lifike kwa Viongozi wanaohusika, binafsi hali yangu ya maisha ya chuo itakuwa mbaya sana, mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma nasoma Shahada ya Uuguzi na Ukunga.
Shida yangu naomba kufikisha ujumbe huu kwa Bodi ya Mikopo kuwa kuna Wanafunzi zaidi ya 200...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amethibitisha kwamba Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), alikamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kinyume na sheria.
Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda huyo wakati akihojiwa na kwa njia ya simu na Clouds TV, Mhadhiri huyo alikamatwa...
Dear members
On 9 Dec, a fellow staff member was arrested, his home searched and interrogated at a police station before he was released on bail.
He was accused of allegedly making remarks in his 8 Dec lecture (10:30-13:30) that incited students to participate in 9 Dec demonstrations...
Katika ulimwengu wa taaluma, ulinzi wa tasnifu (thesis defense) ni tukio la heshima na ukomo wa safari ya mwanafunzi wa shahada ya Uzamili au Uzamivu, Master's pamoja na PhD.
Ni hapa ndipo mwanafunzi huwasilisha matokeo ya utafiti wake mbele ya jopo la wasomi na kujibu maswali ya kina, ili...
Nasikia Mabweni na madarasa mpaka upande bajaji/pikipiki. Is that true? ie it is a long distance...
Accomodation ikoje? au kuna kupanga nje?
Kijana amechaguliwa hapo, sasa wanasema UDOM pagumu kwa usafiri.
Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.
Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei.
Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje.
PS UDOM nao wapunguze maringo...
Kwa wale waliosoma ama waliowahi kufika Chuo kikuu cha Dodoma, hasa college ya social na Humanities, utaona wamama wengi na wazee wanazagaa kwenye milango cha cafeteria wakiwa na watoto wadogo wakiomba hela kwa wanafunzi. Shida ni wale watoto wanaokuwa nao kwamba hawasomi? maana ni watoto wadogo...
Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Hali ya usafi katika chuo hiki ni mbaya sana, hiyo...
Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal.
Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
I salute you kinsmen.
Kama nilivyoripoti mwanzo kuwa kuna tetesj programme nyingi udom katika ndaki ya elimu yaani college of education (COED) zitapunguzwa na kwanzia muhula huu hazitakuwepo ..
Na sasa tamko rasmi limetoka kuwa course hizo hazitakuwepo
Refers andiko lililopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.