Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.
Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa...