udhalilishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    DOKEZO Huyu anayejiita "Russia wa Bongo" anafanya udhalilishaji kupitia mtandaoni. Mamlaka mchukulie hatua

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la baadhi ya vijana wanaojiita watengeneza maudhui ya mtandaoni, lakini njia wanazotumia si sahihi na zinakiuka maadili ya kijamii. Mmoja wa mifano ni kijana anayezunguka mitaani akiwa amevaa miwani yenye kamera ya siri, kisha huwasimamisha...
  2. A

    KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  3. ELI COHEN

    Kwanini wanakuwa wabishi wakati evidence ipo kwenye kitabu chao na hadithi zao kuhimiza fujo, udhalilishaji na ubaguzi

    Wafanye hawa mateka. Waue hawa. Wabague hawa. Wapige wake zenu Wafanye hawa watumwa
  4. The Father of All

    Huu ni ulinzi au udhalilishaji unaofanywa na marais wa Afrika?

    Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na ulumbukeni mbali na ubinafsi na woga usio na sababu au ni kwa vile wanasifika kwa kutowatendea haki...
  5. K

    Hassan Abbas azuie udhalilishaji wa Waadizabe

    Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi. Juzi kuna watu waliwatembelea na...
  6. A

    Je, ni sahihi kutafsiri kitendo cha kupiga picha mwili wa marehemu kama udhalilishaji?

    Kuna tabia mpya imezuka nchini ya kuwalalamikia vitendo vya watu wanaopiga na ku-post picha za wapendwa wao wakiwa tayari wamefariki.....aidha wakiwa kwenye jeneza, kwenye matukio ya ajari au wakiwa mawodini... Je kuna ubaya gani mtu kuhifadhi kumbukumbu ya picha ya mpendwa wake akiwa katika...
  7. Damaso

    Kisa cha Utafiti wa Tuskegee juu ya ugonjwa wa Kaswende ulivyokua wa kikatili kuangamiza Wanaume Weusi Marekani

    Katika historia ya matukio ya kustaajabisha yaliyofanywa na taasisi za serikali kwa jina la “sayansi”, hakuna tukio lililojaa huzuni, udhalilishaji, na ukiukwaji wa maadili ya kibinadamu kama Utafiti wa Tuskegee kuhusu ugonjwa wa Kaswende (The Tuskegee Syphilis Study) uliofanyika kuanzia mwaka...
  8. 1Africa54

    Sura Tatu za Dini ya Kisasa: Biashara, Udhalilishaji na Siasa

    Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha maadili, mshikamano, na uhusiano kati ya binadamu na Muumba wake. Badala yake, inatajwa kuwa njia ya...
  9. Roving Journalist

    PreGE2025 Edda Sanga: Udhalilishaji katika Mitandao kwa Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai ngazi ya Uongozi

    Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
  10. Parabolic

    Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

    Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati. Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema...
  11. A

    Rais kama busara imekuelekeza kupuuza matusi na udhalilishaji wa wakenya imeshindikanaje kuonesha ukomavu kwa Gwajima

    Heading hapo juu inajipambanua vizuri. Kila mtu amejionea na kukusifu kwa namna ulivyoonesha uvumilivu, utulivu, ukomavu na busara dhidi ya matusi, udharirishaji na mashambulizi yanayoendelea toka baadhi ya majirani zetu kama nchi. Hata sisi unaotuongoza tumeyasikia na tumeyaona. Nikiri wazi...
  12. M

    Mwandishi wa Star Tv, Aloyce Nyanda aamriwa kumlipa fidia DED Tsh bilioni 2 kwa udhalilishaji wa mtandaoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya udhalilishaji wa kimtandao. Hukumu hiyo iliyosomwa leo Aprili 11, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa...
  13. C

    Udhalilishaji wa Kijinsia Arabuni wavuka Mipaka - Achezea vibao Hadharani

    Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake. Wabillah Taufiq
  14. M

    Aliyewaita AZAM FC inzi wa chooni hakuna udhalilishaji wowote aliofanya.

    ila aliyesema kuna kikao baina ya makolo na waamuzi amefanya udhalilishaji mkubwa usioonyeka wala kuvumilika wala kuchukuliwa kama utani! By the way,nimefurahi kuona Ahmed ally yuko huru maana mpira ni mchezo,na michezo ni ushindani tu wa kuitafuta Furaha na sio UADUI! ukweli ni kwamba kijana...
  15. Mindyou

    Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

    Wakuu, Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii. Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa. Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
  16. JanguKamaJangu

    Naibu DCI: Makosa ya udhalilishaji wa kijinsia yamepungua Zanzibar

    Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo vya Polisi Zanzibar katika kipindi cha Januari hadi Disemba, 2024 ikilinganishwa na makosa 1,280 ya...
  17. Roving Journalist

    ACT: SMZ Isimamie Sheria ya Ukatili na Unyanyasaji (Gender Based Violence) ili kuondosha matukio ya udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia

    SMZ IHAKIKISHE INASIMAMIA SHERIA YA UKATILI NA UNYANYASAJI (GENDER BASED VIOLENCE) Ndugu wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru, Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia hali ya uzima wa afya, lakini pia niwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu wakuja katika mkutano huu leo...
  18. Z

    Mapambano dhidi ya ukatili na udhalilishaji yanahitaji nguvu za ziada kulekea 2030

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wametakiwa kuzitumia siku 16 za kupinga ukatili kwa kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo. Akifungua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili katika ukumbi wa bima Mpirani wilaya ya mjini, Mjumbe wa...
  19. Roving Journalist

    ACT: Tunaitaka SMZ ichukue hatua stahiki kwa Maafisa wa MIMCA na KMKM waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii

    TAARIFA KWA UMMA SMZ ichukue hatua stahiki kwa maafisa wa MIMCA na KMKM, waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii Hivi karibuni kupitia Mitandao ya Kijamii tumewaona Askari wa Kikosi cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakiwadhalilisha na kuwapiga watembeza Watalii katika Bahari ya Kisiwa cha Mnemba...
  20. Roving Journalist

    Zanzibar: Kampeni ya kupinga ukatili na udhalilishaji kwa Watoto, Wazee na Wanawake kuanza Desemba 14, 2024

    Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ndoto Ajira. Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto...
Back
Top Bottom