udhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kidogo ulicho nacho si udhaifu , ni mwanzo wa ushindi

    “Mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hunyang’anywa hata kile kidogo alicho nacho.” - Mathayo 13:12 (Biblia). Inaweza kuonekana kama isiyo na haki, lakini ndani yake imefichwa kanuni ya mafanikio, ukuaji wa ndani, na nguvu ya fikra. Kwa nini Mwenye nacho huongezewa?……. Ana mtazamo wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

    Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa Na G 55 pia, Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sidhani kama mtakako kwenda mtapata heshima kama mliyokuwa nayo chadema, likewise...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
  4. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utengano huu? Sio udhaifu huu?

    Wakati Sheihk akishauri kua wanaozunguka wakidai tume huru ya uchaguzi washughulikiwe. Unakutana na chama ambacho uchaguzi uliopita kiongozi wa ngome ya vijana wake alichezea kichapo cha mbwa mwizi bila kosa lolote, kikisisitiza kua kitashiriki uchaguzi yani badala ya vyama vyote viungane ili...
  5. JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

    1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kagame kumpigia Marco Rubio kuhusu mgogoro ni udhaifu

    Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa mpaka leo tunasubiria wazungu wazuie sisi kuuwana. Kijinga zaidi silaha tuna nunua kwao.! Lakini kagame...
  7. JamiiForums Tanzania Japo wana udhaifu wao, wanawake ndio nguzo ya familia na dunia kwa jumla

    Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
  8. JamiiForums Tanzania Kiwango cha YANGA kinaficha udhaifu wa SIMBA SC

    Wakati tukiinyoshea Yanga kidole na kuituhumu kuwa kiwango kimeshuka basi, tusiisahau Simba pia. Tunajua Simba inaonekana kwa sababu Yanga anafanya vibaya. Simba inapata matokeo ambayo ni mpaka mtu ashike roho hadi mpira umalizike ndio aiachie. Ukiondoa mechi za ligi kuu. Kwa kundi la CC...
  9. JamiiForums Tanzania ZItto aonesha udhaifu kiuongozi

    Wakati Tundu Lisu anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM taifa, muda mchache baadae Zitto Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, hasa ukurasa wake kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) ameonesha kufurahishwa siyo na kitendo cha Lisu kugombea, Bali kwamba kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa utawala wa Assad kumeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Iran na Urusi

    Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua ubora na udhaifu wa TV za Hisense anijuze

    Wanajamvi salaams Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue. Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora Natanguliza shukrani
  12. JamiiForums Tanzania Oa au olewa na mtu wa udhaifu wako yule wa matamanio yako ili ujivunie

    Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa kujiamini. Hutopenda ajihisi mpweke au umtese kihisia Ndugu yangu usikubali kuambatana na mtu asiye...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanakiri udhaifu wao kwa vitendo; Mbowe yuko busy anawajazia fomu wagombea wa CHADEMA uchaguzi wa serikali za mitaa

    mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo FRV. Gaspar E. Temba...
  14. JamiiForums Tanzania Haya maelezo yanaonesha uimara wa Israel au udhaifu wa Iran?

    Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana. Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha kuipeleleza Israel, lakini mwisho wa siku wakaja gundua kuwa kiongozi wa kitengo hicho ni mtu wa...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi

    Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala ya sheria. Niliezea wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi kwamba zipo kama mapambo na Haziwezi...
  16. JamiiForums Tanzania Jikosoe udhaifu wako [Thread]

    Mimi siwezi kusema hapana, hata kama najua siwezi kutimiza jambo ninalo ahidi lakini bado naahidi na mwisho sitimizi.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna udhaifu mkubwa katika teknolojia inayochukua kumbukumbu za kadi ya mpiga kura

    Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji. Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya mpiga kura ili kurekebisha taarifa, saini, na picha. Nilipofika kwenye kata moja, nilipanga mstari na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

    Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha inayoonyesha jinsi wazungu walivyoharibu miili yao kwa tattoo 1 Wakorintho 1:25 [25]Kwa sababu upumbavu...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

    Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
  20. JamiiForums Tanzania “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge." Sehemu ya nukuu ya Professor Assad

    “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…