udereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi ya Udereva

    Wakuu... Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya kumi (10) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, C2, C3 na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja na kufuata sheria zote za usalama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Kazi ya udereva boss Dar es salaam.

    Habari zetu wakubwa. Mimi nipo Naishi Dar es salaam. Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka. Naweza kuendesha Manual na Automatic. Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving. Nilijiunga mafunzo...
  3. JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kupata leseni ya udereva tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi ya udereva wa gari ndogo binafsi au kampuni

    Habari!!! Rejea kicha Cha mada hapo juu. Kwa majina naitwa JOSHUA JAMES. Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam, Mimi ni dereva Wamda mrefu katika uendeshaji na usafirishaji wa gari ndogo. Nipo mbele yenu Wana jamii forum, kwa lengo lakutafuta Kazi iwe ya kumuendesha mtu BINAFSI, kampuni au...
  6. JamiiForums Tanzania Napataje Michongo ya udereva South Africa?

    Wana JF mko poa..? Nina bro wangu yupo south miaka mingi sana anaishi Capetown juzi kati nimewasililiana nae WhatsApp akaniambia kama sielewi maisha ya bongo niibuke kule atanifosia michongo sababu yeye ameshakuwa mwenyeji.. Sasa hiv ndio nipo katika process za kukata passport, lakini kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

    Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu katika gazeti la Nipashe la leo. Paskali
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji ajira ya udereva

    Habari za usiku wapendwa me kijana wa miaka 26 Nmesoma mambo ya udereva Nina class A, A2, B, D, E Elim yangu Kidato Cha 4 Uzoefu wa miaka 5 Pia nmefanya kazi kampuni tofaut tofaut pia vyeti vya utumish ninavyo Nahitaji kampunii au taasisi au kiongozi kikubwa mkono uende kinywanii napatikana...
  10. JamiiForums Tanzania Kijana wangu kamaliza shahada ya udaktari 2023 hadi leo hajaajiriwa, jumatatu nampeleka Veta akajifunze udereva wa malori

    Nimemsomesha kwa shida, shule za gharama, najuta, najuta najuta, Bora angeishia darasa la saba B tu aingie mtaani ajifunze hata ufundi makenika chini ya mwembe. Jumatatu nimeamia nimpeleke Veta Chang'ombe akajifunze kuendesha malori. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini kitambulisho cha taifa Tanazania kwa USA ni sawa na leseni ya udereva wakati leseni ya kwao imebeba mambo mengi kuliko sisi

    Leseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania. Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta Kaz ya udereva wa binafsi au tx mtandano

    Ndugu jama na marafik nipo mbele yenu kuomba Kaz ya udereva Nafanya kazi ya udereva -gar ya nyumbani -gar ya tasisi yoyote -gar ya tx mtandao Uber bolt Nina uzofu wa mwaka Moja na nusu sasa Naomba ushirikiano wenu kwenye kulifanikisha hili
  13. JamiiForums Tanzania KERO Mfumo mpya wa kurenew leseni ya udereva TRA ni sumbufu

    Kama hamkuwa mmejipanga bora mngeacha kwanza Siku 3 server ipo chini Siku 2 mtu hawezi kupokea OTP Mmeleta kero sana
  14. JamiiForums Tanzania Heshima kwa YOUTUBE kumbe unaweza kujifunza udereva kupitia video tutorial

    Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani. Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi. Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa dereva

    Habari wana JF Hongereni kwa kazi ya kujenga taifa Anatafutwa dereva mwenye leseni ya class C yoyote , kazi yake itakuwa itakuwa ni kuendesha basi la shule na majukumu mengine atakayopangiwa na mwajiri wake Vitu vinavyoitajika 1. Leseni daraja C 2. Elimu ya kidato cha nne na kuendelea 3...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba Kazi ya udereva

    Habari za muda huu Ndugu zangu naitaji msada wenu wa gar la kufanyia Kazi bolt Uber Nina uzoefu wa mwaka Moja Kwa sasa Niko tayari hata kuendesha gari binasfii Niko tayari naomba ushirikiano wenu Kwa mawasiliano 0658673259 0658673259
  17. JamiiForums Tanzania Kazi ya udereva costa Dodoma

    Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26. Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi. Msaada jamani
  18. JamiiForums Tanzania Madereva 15 wafungiwa leseni za udereva Tanga

    Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo alisema kuwa jumla ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni Chuo cha Reli (TIRTEC)

    Tangazo la nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni chuo cha reli (TANZANIA INSTITUTE OF RAIL TECHNOLOGY -TIRTEC). Nimeambatanisha tangazo husika.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa mabus au roli semi tella

    Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote kwa malipo yoyote sina tamaa Gari ambazo nazimudu pamoja na scania,schman, howo,faw, na zingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…