udereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abuu Dharr

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu elimu ya Udereva

    Nataraji Wakuu mpo salama na familia zenu. Naomba kujua kuhusu elimu ya udereva. Je, unaweza kusomea udereva wa magari makubwa kabla ya kusomea magari madogo? Tufahamu kuwa mhusika hana ujuzi kabisa wa udereva. Nataraji majibu mazuri Shukrani, Nawatakia siku njema
  2. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Leseni ya umiliki silaha Vs Leseni ya udereva ipi imeleta madhara zaidi?

    Sina takwimu kamili Issue ya umiliki wa silaha imeleta fikra/ hisia/ mawazo mengi kwa Watanzania hasa baada ya taarifa za wiki iliyoisha(weekend). Kikubwa nimejifunza Wengi wanalaani umilikishwaji wa silaha kwa watu.(kiholela) Ingawa process ni ndefu. Wanakemea na kuiomba serikali Au taasisi...
Back
Top Bottom