uchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Kifo cha mtu uliyemzoea mtihani mgumu sana kufaulu

    KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA. Habari wakuu,poleni na majukumu Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O. Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kweli tuna uchungu na CHADEMA tuache kuandamana kweye mitandao tuwe mfano

    Wanaukumbi. Wafuasi wa Chadema popote pale walipo tuache kutoa matamko kwenye mitandao huku tumejificha mara makongamano ya online kila mmoja yupo chumbani kwake. Tuingie uwanja wa mapambano bila sisi wafuasi wa Chadema kufanya hivyo hamna wakutufanyia. Yaani Chadema wanatafuta chambo kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa 1991 kupandishwa cheo mara moja tu. Anastaafu kwa uchungu

    Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale. Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wazir Ummy Mwalimu analeta siasa kwenye elimu; ni sampuli ya viongozi ambao hawana uchungu na elimu ya watoto wa maskini

    Bila aibu Ummy Mwalimu amesema ajira 1360 za walimu wa physics na 599 za walimu wa hesabu kwamba zimemaliza tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini. Kwangu kauli hiyo ya Ummy naona inalenga kutafuta umaarufu wa kisiasa kwani alichokisema ni uongo unaofaa kupuuzwa na kila mtu...
  5. JamiiForums Tanzania RC Mtaka yupo sahihi. Ni kweli kabisa viongozi wetu hawana uchungu na elimu ya watoto wetu

    Pamoja na approach aliyoitumia ila alichokisema RC antony mtaka ni ukweli uliochelewa kusemwa kwa sababu ni kwa miaka mingi sana elimu yetu imekuwa ikifanyiwa siasa na kuharibiwa na viongozi tuliowapa dhamana ya kuisimamia. Mara kadhaa kumekuwa kukitolewa matamko yasiyo na kichwa wala miguu...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali ya Hayati Magufuli ilivyoichezea Katiba ya Nchi, inatia uchungu

    Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya mhujumu wa katiba. Katiba iliyopo imeweka kinga kwa Rais. Kwa nini ajiwekee kinga kama anafanya...
  7. JamiiForums Tanzania Wake za watu mna nini?

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia. Unakuta mmama mtu mzima anamtongoza kijana bila hata ya hofu na aibu, mama kimtazamo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Tarimba Abbas Tarimba wa (CCM) ana Uchungu na Urais wa TFF kuliko Jimbo lake la Kinondoni?

    Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake la Kinondoni leo hii asingeshukuriwa na Kupendwa zaidi na Wapiga Kura wake? Kwa jinsi Mbunge Tarimba...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna text mwanaume anaituma kwa uchungu kama "KWA HIYO HUJI"?

    WANAUME wengi sana imetutokea ama kwa kukusudia ama kwa kutokukusudia kutokana na machungu unajikuta unaandika tu KWA HIYO HUJI?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…