uchumi

  1. E

    SoC02 Sababu zitakazochochea mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala, kilimo,afya, uchumi, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo. Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali. Mfano, katika nyanja ya elimu kama walimu na baadhi ya...
  2. SoC02 Dini na athari zake hasi katika uchumi wa jamii na taifa na namna ya kuzikabili

    Utangulizi Tanzania ni nchi isiyokuwa na dini, lakini watu wake wana dini. Hili ni jambo zuri kwani katika ulimwengu huu wa Sayansi na Teknolojia wapo wengi ambao hawaoni tena umuhimu wa dini maishani mwao. Licha ya hilo, zipo athari nyingi hasi za wazi na zisizo za wazi zinazoweza kuathiri...
  3. SoC02 Fikra sahihi na tamaduni hii mpya itainua uchumi wa familia na taifa letu kwa ujumla

    Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
  4. Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

    Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema. 07 SEPTEMBA 2022  Tuomas Malinen...
  5. SoC02 Responded Mikopo ya 10% isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali. Mapungufu na ufumbuzi

    Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga 10% ya mapato yakekwajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu nchinzima. Sheria inayosimamia mikopo hii inatoa mwongozo kwa watendaji husika kuhusu kusimamia upatikanaji wa fedha kwaajili ya...
  6. L

    Maeneo maalum ya Uchumi yanayoungwa mkono na China barani Afrika yahimiza maendeleo ya Nchi za Afrika

    Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
  7. Washirika wa Sabaya wafutiwa Shtaka la Uhujumu Uchumi kwa makubaliano na DPP, waachiwa huru

    Katika Gereza Kuu la Karanga Moshi, washtakiwa hao wamesota mahabusu kwa siku 95 na katika Gereza la Kisongo lililoko mkoani Arusha, walikaa kwa siku 363. Walioachiwa huru baada ya kuingia makubaliano (Plea Bargaining) na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), ni mshtakiwa wa pili, Sylvester...
  8. M

    Wasanii na Bendi za Muziki Tanzania hivi mnajua kuwa kufagilia watu kwa kutaja majina yao ni kitega uchumi cha Bendi nyingi za Congo DR?

    Nilihudhuria live band moja hapa mkoani Dar es Salaam siku si nyingi na kilichotokea kilinisikitisha sana na kuamini kuwa bendi za Tanzania bado sana Kushindana na za Congo DR na Congo Brazzaville. Wakati bendi inapiga na watu tunaserebuka kwa sebene akaja mmoja wa marapa jirani yangu na...
  9. M

    Yanga SC mtumieni Tuisila Kisinda kama kitega uchumi wenu kwa kumruhusu acheze ndondo za mitaani

    Binafsi nina Timu yangu ya Mtaa inataka kushiriki Ndondo ila sina Winga Teleza Mmoja tu hivyo nawaonba Yanga SC mnikodishe Tuisila Kisinda aichezee Timu yangu na kila Mechi nitamlipa Shilingi Elfu Tatu na Mia Tano ( Tsh 3,500/= ) tu. Nitaishukuru wana Yanga SC wote mliopo hapa Jamiiforums...
  10. C

    SoC02 Wazee walizeekaje bila kukunua magari? Kwanini tuwaachie viti kwenye daladala ili sisi tusimame?

    Creative Monster Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi. Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
  11. SoC02 Takwimu ziwaongoze wananchi katika kujenga uchumi

    Uchumi ni utafiti wa uhaba na athari zake kwa matumizi ya rasilimali. Masomo ya uchumi huwa yanalenga kuelewa namna gani watu hu badili tabia ili kukumbana na hali inayoendelea. Uchumi hauna mipaka wala haujaeleweka kikamilifu. Bado kuna mambo mengi ambayo hupatikana kwa kushtukiza au yapo...
  12. Ripoti ya CAG Zanzibar yaondoka na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA)

    Taarifa ya Ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA), Ahmed Khamis Makarani. Hatua inakuja kufuatia maelekezo ya Rais Mwinyi...
  13. K

    SoC02 Elimu + Teknolojia = Uchumi

    Kwanza, salaam kwako msomaji wa andiko hili, lakini pili sifa nyingi na utukufu kwake Allah mwenye enzi hakika ni kwa neema yake pekee mimi na wewe tu wazima wa afya njema. Kwa kuanza niseme kidogo ni kwanini nimechagua kichwa cha andiko iwe ni Elimu ongeza Teknolojia ni sawa na Uchumi ama kwa...
  14. Z

    Tulikuwa na uchumi wa Malima-Malimanomics. Sasa tun a uchumi wa Mwigulu -Tozonomics

    Kwa wale ambao hawajawahi kusikia uchumi wa Profesa Kighoma Ali Malima alipokuwa waziri wa fedha, mpango wake wa uchumi uliitwa Malimanomics. Inavyoonekana sasa tuna aina mpya ya uchumi unlioletwa na Mwigulu Nchemba Tozonomics. Kwa ujumla wanasiasa hawa wawili wanafanana kwa kulewa sifa za...
  15. B

    SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  16. SoC02 Uchumi wa Gesi Asilia Umnufaishe kila Mwananchi

    Gesi Asilia ni nini? Kwa mujibu wa tovuti ya “renovablesverdes”, Gesi asilia ni mafuta ambayo, kama makaa ya mawe au mafuta ya petroli, huundwa na hidrokaboni, mchanganyiko wa molekuli zinazoundwa na atomi za kaboni na hidrojeni. Utafiti wa kisasa wa kijiolojia umewezesha kugundua na kutumia...
  17. M

    SoC02 Kwanini Tanzania ina rasilimali nyingi lakini uchumi wake sio imara?

    Tanzania ni moja ya nchi zilizopo mashariki mwa bara la Africa. Na ndani yake huishi Watanzania na asilimia ndogo ya watu kutoka nchi zingine duniani. Tanzania sasa angalau haipo katika nchi maskini duniani, sasa ni nchi ya uchumi wa kati. Nchi hii imebarikiwa sana, ina rasilimali nyingi ambazo...
  18. Ni kweli Mwigulu Nchemba ana PhD ya Uchumi?

    Ni kwa maoni yangu binafsi siamini kama rais wa mawe ana Phd ya uchumi,na hii imedhihirika wazi kabisa jinsi anavyoendesha wizara hii na yeye akiwa ndio mwenye dhamana. Amekuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiri kuhusu kuongeza njia za kukusanya mapato , Ni waziri mzigo ambaye analididimiza taifa...
  19. SoC02 Tabia zetu hutufanya tuwe tulivyo kiuchumi

    Saikolojia inasema ukifanya kitu kila siku kwa siku 21 kitu hicho hugeuka na kuwa tabia, hivi Ulishawahi kujiuliza kwanin nafanya kitu au biashara kama anavyofanya mwingine lakini sifanikiwi, au mbona mimi lakini sio fulani kiufupi binadamu tumeumbwa kujifananisha na kujilinganisha na wengine...
  20. SoC02 Uchumi

    Mimi nitauzungumzia UCHUMI kimaana nina Uhusiano nao, pia katika hili kuna SAYANSI na ELIMU ndani yake. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kuuzungumzia UCHUMI lakini kabla ya kwenda kwenye UCHUMI kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa DUNIA ama MWANZO wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…