uchumi

  1. JamiiForums Tanzania Tuache kulalamikia TISS kwa majukumu yasiowahusu ya kudhibiti ufisadi au kuendesha uchumi wa nchi

    Sijwahi kuona taifa lingine ambalo wizi/ufisadi wa mali za umma unatokea halafu Idara za ujasusi ndizo zinalaumiwa. Ukosoma sheria ya kuundwa kwa TISS kazi ya inahusu usalama wa taifa "security". Kufuatilia rushwa, ufisadi katika ofisi za umma, kuendesha uchumi, kupambana na madawa ya kulevya...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa gape za uchumi Kati ya taifa moja na jingine au ndani ya jamii ni sababu moja ya muhimu ya maisha kuwezekana au Kuwepo na amani

    Uchumi unapolingana Kati ya mataifa mengi au Kati ya watu wengi Katika jamii huibua mashindano ambayo Mara nyingi matumizi ya nguvu huonekana na kusababisha machafuko na vifo
  4. K

    JamiiForums Tanzania The greatest threat to the USA is not China, but Peace

    Greatest Threat to the USA is Peace. By: Chua Chin Leng Date: 24-March-2023 The greatest threat to the USA is not China, but Peace. Peace in the world would bring an end to the evil American Empire that is built around war and a war economy. When there is Peace in the world, the Americans would...
  5. JamiiForums Tanzania Upelelezi kesi ya uhujumu uchumi Sabaya ushahidi umekamilika

    Baada aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, mkoani Kilimanjaro kusota kwa takribani siku 302 rumande kwa kesi namba 2 ya hujumu uchumi pamoja na utakatishaji wa fedha upande wa Jamhuri umesema upelelezi umekamilika na kuomba tarehe ya karibu kwa ajili ya kufaili vibali. Akiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanachama bora wa 2022 | Jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

    Mimi kama mwanachama wa Jamiiforums, nimepokea zawadi kwa mikono miwili na nimefurahi sana kwa kupata heshima hii. Hii imenipa motisha zaidi ya kuendelea kuchangia katika mijadala mbalimbali ya JF. Hili ni jambo la kipekee kwangu kwa sababu hii ni mara yangu ya kwanza kupata heshima hii tangu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa uchumi huu tuna haja ya kufanya tunayofanya kweli?

    Kwa mujibu wa report hapo chini, Tanzania inatarajia kukusanya T26 mwaka wa fedha 23/24 na zaid ya 40% ya makusanyo yote ya kodi na yasiyo ys kikodi ni kwa ajili ya mishahara, aslimia nyingine kama 40 ni kwa ajili ya kulipa deni la taifa, Sasa tujiulize. 1. Tuna haja ya manunuzi ya magari...
  8. JamiiForums Tanzania Imekaaje unatoa na kuomba msaada?

    📌 Mimi bado najifunza tabia ya mwanadamu. Na
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni hatari kwa uchumi na afya ya akili na mwili

    Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu. 1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
  10. JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani zaanza kukumbwa na mtikiso wa uchumi

    Benki na taasisi za fedha barani Ulaya na Marekani zimeanza kuguswa na mtikisiko wa uchumi ambao unazikumba benki kadha mfano Uingereza na Uswisi nchini Uingereza benki zimeamua kuongeza kiwango cha riba kunusuru soko lao, nchini Ufaransa maanadamno ya kupinga ongezeko la ugumu wa maisha...
  11. JamiiForums Tanzania Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

    Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano. Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, taasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali...
  12. JamiiForums Tanzania BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

    Haya sio maneno yangu niaelezo ya Benki Kuu ya Tanzania ,BoT.. Kwamba Makisio ya mwaka 2022 yalikuwa ni ukuaji wa Asilimia 4.7% lakini Hadi Desemba mwaka 2022 Ukuaji ulikuwa Asilimia 5% na hivyo Kupita matarajio yaliyowekwa kabla.. Rais Samia na Mwigulu wanazidi kufanya Wonders na kuwaziba...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini, Kenya, Nigeria na Tunisia leo kuna maandamano. Hawa ni vinara wa uchumi wa Afrika wanadai maisha bora zaidi na demokrasia

    Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi. Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
  14. JamiiForums Tanzania CRDB kutokuonyesha kiwango cha makato kabla ya kufanya muamala kwa App au SIM Banking ni wizi na uhujumu uchumi

    CRDB kupitia app yao au njia ya code *150*03# hawaonyeshi kiwango cha pesa utakachokatwa mara ukikubali kufanya huo muamala. Huu ni wizi na uhujumu uchumi kwa watumiaji wa CRDB. Ili upate laki 1 kwenye simu unaweza kushituka wamekula elfu 5 na ukitoa kwa wakala let's say tigopesa wakikukata...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, bingwa wa uchumi ever seen here in Tanzania

    Huyu jamaa ni msomi na mahiri mno wa uchumi ndio mana huwezi kukuta anakosolewa na profesa yeyote wa uchumi maana wanamuogopa sana. Maprofesa wengi waliunga unga lakini Mwingulu straight kutoka Mzumbe na alipiga first class UDSM wakati maprofesa wengi hawana hii. Profesa kama Semboja degree yake...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa gesi uliishia wapi?

    Mnamo miaka ya mwisho ya uongozi wa awamu ya 4, aliyekuwa Rais wa awamu hiyo Jakaya Kikwete alinukuliwa akisema kwa kuwa tunaingia uchumi wa gesi, yeye ndo angekuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania iliyo masikini. Kipindi hicho ilikuwa kawaida kusikia maneno "tunaingia uchumi wa gesi". Tamko...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli baba wa uchumi wa Taifa la Tanzania, kaburi lake linawatisha wabaya wake na wametishika

    KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja zinazohusu wananchi badala yake wanapambana na Marehemu. JPM hakuwa wa kwanza kuongoza nchi kwa namna...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo nikapokea simu kutoka kwa Salah (C.E.O) au Simba wa Bahari akinitaka ndani ya wiki moja niwe nimetimiza...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri Serikali imlipe Kocha wa Taifa Stars ni Mhujumu Uchumi asie na nia njema na Maendeleo ya Michezo!

    Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Raisi Samia anatumia akili kukuza uchumi na sio hisia binafsi

    Namshukuru Raisi Samia kwa kutumia akili na maarifa kukuza uchumi wetu bila kuweka mbele hisia binafsi. Hisia binafsi ni pamoja na kuweka ukanda, ukabila na uchama mbele ya Tanzania kwa ujumla wake. 1. Kitendo cha kuelewa katiba ni muhimu kwa uchumi wetu. Hasa kwenye sheria za kibiashara na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…