uchumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Big Yes or Big No

    Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope. Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema “When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What...
  2. Damaso

    Engagement ya kihistoria Kanisa la Free Church

    Kanisa la Free Church chini ya Mchungaji Masanja Mkandamizaji limeandika historia mpya ya kipekee baada ya kushuhudia uchumba ulioacha wengi midomo wazi na wengine wakibaki na mshangao. Kauli mbiu iliyosikika ikitamba ilikuwa: “Mungu asiyewahi kuchelewa yupo!” — ishara kuwa hakuna...
  3. Stroke

    Tunapeleka barua ya uchumba Iringa tusaidieni tunatakiwa kufanya nini?

    Wakuuuuuu. Dogo anavuta chuma toka iringa kwa wabena. Barua inatakiwa kuwa na nini? Afanye nini?
  4. G Sam

    Unaisaliti Chadema kwa kupewa kishika uchumba cha shilingi za kitanzania laki moja?

    Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini. Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao...
  5. Fbn

    Someni hapa kuhusu Uchumba vs ndoa na ratiba

    Kuna kitu nimekiona kwenye kesi nyingi za ndoa ila si wazi kusema wakiachana. Uchumba hakuna ratiba ya kuombana kuhusu upwiru. Ila mkiwa kwenye ndoa ndio mnaanza katiba za wasiojulikana mwisho wasiku mnaishia kugombana kwa upwiru wenu. Ndoa nyingi zimevunjika kwa ratiba za upwiru.
  6. 05CUBA

    MAN TO MAN : Ni Nini alikifanya ukagundua kuwa yule mwanamke hakufai ??

    Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua .... Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
  7. Money Penny

    Uchumba wa zamani nani anaukumbuka? Wa miaka ya 80 mpaka 2000?

    Sis: " Mdogowangu, zamani sisi tukiwa kwenye uchumba, kuanzjq miaka ya 80 mwisho waliishia mwaka 2010. Wanaume walikuwa wana upendo sana, walikuwa wanahudumia wachumba zao wakike au girlfriend zao sana Tulikuwa tunapewa hela jaman, saluni, wengine mapaka magari, na nyumba unaonyeshwa hapa ndio...
  8. Waufukweni

    Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

    Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024 Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar...
  9. R

    Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

    Habari Wana JF. Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike. Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni. Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee...
  10. Last_Joker

    Kuchumbia kwa miaka au kufunga ndoa haraka: Njia gani inahakikisha ndoa imara?

    Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
  11. Chendembe

    Najiuliza Kama kwenye uchumba tunakosa furaha, tukimpa Timu itakuwaje!!!

    Wanasimba tutafakari vema kumpa Timu huyu bwana tunaemwita mwekezaji. Naliona Giza mbele yetu Mimi nimepoteza imani kwake.
  12. Baba Kisarii

    Maana ya uchumba

    Nini Maana ya Uchumba? Uchumba ni kile kipindi cha Maandalizi ya kufungwa kwa ndoa. Maandalizi haya huhusisha utoaji wa mahari na uandaaji wa sherehe ya harusi (kama itakuwepo). Ikumbukwe kuwa, suala la sherehe Kikristo sio la lazima. Hivyo, hutegemeana tu na wahusika wenyewe wanataka nini...
  13. Tlaatlaah

    OMBEENI UHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA YENU BILA KUCHOKA..

    ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu, na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana.... hongereni sana kwa hatua mliyofikia, Mungu...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Tetesi: DP world hawakupewa bandari za Tanganyika bure. Nakataa

    Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika. Issue ya ukodishaji wa bandari za Tanganyika especially Dar es salaam port kwa DP world ilitrend kwa muda mwingi na sasa...
  15. O

    Kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete ya uchumba?

    Wana JamiiForums hope mko poa kabisa Naomba kuuliza hili maana linanitesa sana. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nimemlipia mahari na nikamvalisha pete. Ila mimi baada ya kuona haeleweki nikampotezea. Swali ni kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete...
  16. S

    Ewe mwanaume, ukiona wakati wa uchumba unaombwa vocha, nauli ya daladala, hela ya LUKU na hela ya kula, kimbia

    Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako. Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa. Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi...
  17. Under-cover

    Sumu ilioniondolea Babe Mama

    aomba nishee ka story kangu, ila wanawake 🙌. Bana nakumbuka nimemaliza chuo, sasa nilikuwa na pisi iko mwaka wa mwisho. Sasa home ilikuwa ni karibu na chuo nilikomaliza kusoma na yeye ndio alikuwa anasoma hapo. Kuna siku bwana nilimwambia tukutane mara moja nimuone kwa sababu nilikuwa nimemmisi...
  18. Manyanza

    Baadhi ya sababu zinazosababisha Wasichana kukosa Wachumba wa kuwaoa

    Kwa dada zangu wote wa kizazi hiki chetu: Sababu zinazoweza kukufanya ukose mchumba ukabaki singo muda mrefu au maisha yote huku unalialia: 1. Kutokuwa na hofu ya Mungu. Binti huenda kanisani wala msikitini upo tu nyumbani. Mvulana serious akikuangalia ataona ni mtu wa kutumika tu na si mtu...
  19. T

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
  20. T

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
Back
Top Bottom