uchi

Uchi is a contemporary Japanese sushi restaurant located in Austin, Texas which opened in 2003. The Japanese word "Uchi" translates to "house" in English, and the 2,700-square-foot (250 m2) space is a refurbished home. Owner and chef Tyson Cole's menu consists of hot and cool tastings, sushi and sashimi, makimono, yakimono and tempura, and a changing omakase based on seasonal items. In 2011, Cole won the “Best Chef, Southwest” award from the James Beard Foundation.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

    Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje? Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha...
  2. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuweka miziki yenye video za nusu uchi kwenye usafiri wa umma ikome

    Shalooom! Wakuu, nilisafiri kwa basi fulani kuelekea mkoani Mtwara ila nilijiskia vibaya sana kuona kila muziki unaochezeshwa kwenye luninga ya gari unaonesha watu walio nusu uchi. Mbaya zaidi nilikuwa na mtoto wa sister naye macho yake yalikuwa yanakodolea kila kinachoendelea. Moyoni...
  3. JamiiForums Tanzania Picha ya Harmonize akiwa uchi na kipichu inahuzunisha sana

    Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu. Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama nimeachwa na nimpendaye ni siri ya ndani. Niliapa kwamba nitamshauri Harmonize na kama utaamua kuchukua...
  4. JamiiForums Tanzania Zoezi zima la uokoaji ajali ya Precision limetuacha uchi duniani, kuathiri sekta ya utalii nchini

    Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima. Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga. Juhudi za Royal...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Je, nyuma ya uchi kuna siri gani?

    Nitauzungumzia UCHI kwa kuwa watu wanaoruhusiwa hapa ni kuanza miaka 18 basi hakuna tatizo. JE, NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kutoa Elimu hii, lakini kabla ya kwenda kwenye Mada husika, kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mtoto mdogo kuona tupu za mzazi/wazazi wake?

    Kwa mazingira yeyote je, ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake? Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto wako mdogo? Najua kila mtu ana ufafanuzi wake kuhusu mtoto, niseme chini ya miaka 5.
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

    Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli. Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame. Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na...
  8. JamiiForums Tanzania Salome Makamba umejiweka uchi suala la Loliondo

    Mgogoro wa Loliondo ni tofauti na Mgogro uliopo ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Salome Makamba yeye anaona ni moja. Hajui kutofautisha. Sendeka alichangia kuhusu mapori tengefu na mapori ya akiba lakini yeye akajaribu kumkosoa Sendeka au kumshambulia kwa kutumia mgogoro wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kutishia kurusha picha za uchi mtandaoni

    Msaada ndugu zangu, Kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni. Naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
  10. JamiiForums Tanzania Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je hawa wanawake wangetembea nusu uchi?

    Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
  11. JamiiForums Tanzania Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

    Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu. Nini kinawafanya wajiamini hivi? Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
  12. JamiiForums Tanzania Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

    Zijue faida 11 za kulala uchi au mtupu nyakati za Usiku UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na wengine hujifunika mablenketi kabisa.Katika makala haya, utakufumbuliwa macho uanze kulala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…