uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

    Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati. Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi MO29 ingekuwepo?

    Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea? Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini macho Cha uchaguzi. Matokeo yake kilichotokea tarehe 29 Kila mtu anakijua. Je chaguzi zijazo like...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga kuvuruga amani na uchaguzi

    Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi Kuvuruga uchaguzi Kuharibu biashara za watu Kuharibu miundombinu ya serikali Kuliletea Taifa letu sifa mbaya Unakaaje meza Moja na watu kama hao ambao hawana tofauti na wahaini...
  4. JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  5. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi Zanzibar wajitokeza uchaguzi mdogo Fuoni

    Wananchi wa Jimbo la Fuoni lililopo wilaya ya Magharibi B mkoa wa Mjini Mgaharibi, Zanzibar wameendelea kujitokeza kushiriki katika uchaguzi mdogo wa Mbunge katika jimbo hilo. Uchaguzi huo unafanyika hii leo Desemba 30, 2025 kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Abbas Ali...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi mdogo Fuoni na Siha kufanyika leo

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele, leo Desemba 29, 2025 ametoa taarifa kuhusu uchaguzi mdogo wa ubunge unaotarajiwa kufanyika Desemba 30, 2025 katika Jimbo la Siha, Mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Bara) na Jimbo la Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Mihali awaasa Wakatoliki waliofanya Udanganyifu kwenye Uchaguzi wakatubu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Mihali Wakatoliki waliosimamia uchaguzi na kufanya Udanganyifu wakafanye kitubio

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Mihali: Umepewa wajibu wa kusimamia uchaguzi, umesimamia vizuri?

    "Tungeweza kusema ujio wa Yesu Kristo umeondoa kila aina ya dhuluma, uwe umeondoa kabisa hali ya uonevu, uwe umeondoa kabisa hali ya kutojali utu, uwe umeondoa mauwaji au kuuawa kusipokuwa na hatia, uwe umeondoa kabisa unyanyasaji wa aina mbalimbali , tulidhani imengekuwa hivyo miaka yote...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Yazuia Uingizaji wa Starlink Kabla ya Uchaguzi: Huu Ndio Mtindo Mpya Sasa (Umejipangaje)?

    Habari wanaJF, Ni muda nimekuwa kimya humu, lakini kuna jambo muhimu limejitokeza jirani zetu Uganda ambalo lina uhusiano wa moja kwa moja na kile tulichokiona Tanzania wakati wa uchaguzi — hasa kwenye masuala ya intaneti na udhibiti wa mawasiliano. Uganda imetoa zuio la uingizaji wa vifaa vya...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kila Mtanzania anajua wazi kuwa hakuna chama kilichokimbia uchaguzi kwa sababu ya wafadhili wa nje

    Sidhani kama Chadema walikimbia uchaguzi kwa shinikizo la watu wa nje. Hii sio kweli kabisa. Takwa kubwa lilikuwa ni kupata katiba mpya ambayo ingeweza kuleta mazingira ya kutokuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi. Hili la kueneza maneno kuwa wanalipiwa hela kwenye mahotel huko nje sio hoja...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bila ya kutegemea dola CCM haiwezi kushinda uchaguzi

    Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya. Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli za kisiasa za vyama pinzani kwa CCM wakati wa uchaguzi. Itokee kuwe na tume huru ya uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Michango iliyofanywa na CCM kabla ya uchaguzi ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi na mauaji

    Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi. Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana ulisikia kashinda asilimia 98. Ilikuwa nilazima mauwaji yatokee kipindi cha uchaguzi sababu waliopewa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchange: Uhalali wa uchaguzi sio lazima CHADEMA washiriki

    Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi si kigezo cha uchaguzi kutokuwa halali
  16. JamiiForums Tanzania Mnaua wenzenu kumlinda mtu na kikundi chake kushika madaraka halafu mna wiki 3 hamna Maji

    Mzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi wanajutia sasa

    Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa. Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yaomba wananchi watume taarifa za uvunjifu wa amani zilizotokea wakati wa uchaguzi

    Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32). Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo yatakayosaidia kufahamu ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Matokeo ya uchaguzi mkuu 2025 yafutwe pamoja na Tume Uhuru ya Uchaguzi INEC

    John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe. Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…