uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

    Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
  2. JamiiForums Tanzania Trump: Nisiposhinda uchaguzi, vita ya Ukraine itakuwa ni vita ya 3 ya dunia!

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy katika jengo la Trump Tower huko New York mapema Ijumaa wiki hii na amemuahidi kumaliza haraka vita kati ya Urusi na Ukraine ikiwa atashinda kiti cha Urais wa Marekani. “Tuna uhusiano mzuri sana na pia...
  3. JamiiForums Tanzania Maafisa usalama zaidi ya 700 wamuunga mkono Kamala Harris dhidi ya Trump kwenye Uchaguzi mkuu Marekani 2024

    Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump. Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiiga movements za "Rock The Vote" organization, watashinda uchaguzi 2030 kwa kura mpya za Gen Z

    Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya chini, Ukiangalia Demographic ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania ni vijana wa miaka 15-35..bahati...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

    Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100, ukiwa ulimegwa kutoka Mkoa wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na Mto Songwe. Makao makuu ya mkoa huu yako Vwawa. Mkoa wa Songwe una majimbo sita (6); Momba, Tunduma, Songwe, Vwawa, Mbozi na Ileje, ambapo Jimbo...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Singida 2024

    Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000. Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama wewe ni mtendaji kata na ni mfuasi wa CHADEMA hutopewa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa

    Ndugu wanajamvi! Pokeeni salamu zangu Juzi nilikuwa mkoa wa.mwanza tena center kwenye kijiwe flani. Nikawa namsikia mtendaji mmoja anaongea na mtendaji mwenzake Kwamba wamepewa barua za usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mtaa. Mwenzake akasema yeye hajateuliwa kisimamia uchaguazi...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ruvuma: Rais Samia asema wananchi wasifanye makosa Uchaguzi Serikali za Mitaa, rangi za kuchagua ni Njano na Kijani

    Wakuu, Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti? ==== Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa. Zitakuja rangi nyingi kuwashawishi mpige kura lakini rangi yetu tunayoijua ni kijani na njano...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa kiwango gani maandamano ya CHADEMA yataathiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wagombea wa chama hicho?

    November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao. Unadhani kwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Trump: Sitagombea tena Urais Nikishindwa Uchaguzi huu

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (78), amesema hatarajii kugombea tena kwenye uchaguzi wa urais mwaka 2028 iwapo atashindwa katika uchaguzi wa Novemba 2024. Akizungumza na Sinclair Media Group, Trump aliulizwa kama anaweza kufikiria kugombea tena endapo atashindwa uchaguzi wa mwaka...
  12. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinawafanya CHADEMA waanze kuchafua nchi kabla ya uchaguzi

  13. JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha Mtanzania ni uchaguzi mkuu ambao hufanyika kila baada ya miaka 5.

    Wasomi kwa wajinga, vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu. Nilidhani uchaguzi mkuu ni kipaumbele cha wajinga tu kumbe wasomi ndio zaidi. Wateule wanapomsifu Rais aliyewateua mwishoni hugusia uchaguzi mkuu. Wapinzani wataongea yote mwishoni watagusa uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ubora wa rais Samia upo wapi? Hivi anafahamu mwakani ni uchaguzi kweli?Au hana nia ya kugombea tena?

    Binafsi wakati mwingine namuonea huruma namna watu wanavyomshambulia , ila najiuliza ubora wake upo wapi angalau nimtetee tetee siuoni. Kila kukicha mambo yanaharibika na kwa namna moja au nyingine itampunguzia credits sana kipindi cha uchaguzi unaofuata. Kwa yanayoendelea achilia mbali suala...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukumbushane baadhi ya Matukio ambayo hufanywa na Wanasiasa Majimboni kuelekea Uchaguzi ili kuombea kura

    Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii. Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
  16. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa India na CCM wazidi kuimarika. CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kuimarisha diplomasia .

  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Jaji Warioba: Waliosimamia Uchaguzi wa 2019 na 2020 wataendelea na je wanaaminika?

    Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilikuwa kama ajali kwasababu hazikuwa katika utaratibu wa kawaida ikiwemo Mawakala kusambaratishwa wakati wa Kuhesabu Kura Ameongeza kuwa hali hiyo imeanza kuibua hoja na maswali kuhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Ndolezi Petro: Polisi waache kutumika kisiasa kwenye michakato ya uchaguzi, wawaachie wanasiasa kunadi sera zao

    Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, anayeshughulikia masuala ya Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Mhandisi Ndolezi Petro, amekosoa uchaguzi wa mwaka 2020, akidai kuwa haukuwa huru na haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara jimboni Bumbuli, Mkoani Tanga...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ___________________ 1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…